Wee pale kulikua na tiktak ganii? Mbona show ya kiwaki iliyotawaliwa na kelele uchwaraa tyuuh.Ile Shoo wameipenda kimya kimya. Infact hizo tiktaka ndio wanabamizwa sana. Ile kwao wanaona ni kawaida
Siku ya tukio alitafutwa toka asubuhi sio saa 7 za uskuπ€ͺAlaa kumbe alikwenda. Sasa alikuwa anatuimbia haendi alikuwa anamaanisha nini?
Ni namna bora ya kuwapatia fisi chakula bora.Menu mpya!Haha muda mwingine nakaa najiuliza hivi kweli utu mwanadamu unathaminiwa??? Dah yani unakuta mwili wako unaachwa mbugani fisi wanachezea mifupa yako
Japokuwa umetumia lugha kali yenye ukakasi ktk kuwasilisha Hoja yako, lakini hoja yako Ina ukweli mchungu kwa kiasi fulani.Umeelewa maana ya kufanya kazi Kwa rotations ?
Hii nchi haijawahi kuwa na ukosefu wa walinzi , kwanza polisi na jwtz hao vibaka wanalinda nini nchi hii ?
Hawa wapuuzi waliowahi mdunga mtu sindano ya sumu na kupora pesa zake , hawa washenzi wana tofauti gani na majambazi au wakora wa huku mitaani ?
Wapuuzi wanakula mishahara ya bure na kupata muda wa kuanza kuwaza kubaka raia , dawa ni kuwakeep busy na kuwanyooshea kwa kazi za shuruba wasahau hata kuwaza ngono na adabu iwaingie vizuri
umeshasema wanatingisha makalio,so inawezekana wanamwonea wivu kwa kilichomtokea huyo binti,,,hapo walipo wanatamani wawatolee dhamana hao jamaa ili nao wapatiwe hiyo huduma!!,,,,wee unafikiri hamna baadhi ya wasanii wanfanyaga izo mambo kwa hiari yao??? na wanamudu!!!...."tuombee watoto wa2 wa kike,huko kitaa kuna mambo yanatia aibu,,,,,,,,,"Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.
Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.
Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
Ahsante bossUmesema ukweli...
Hahah daahumeshasema wanatingisha makalio,so inawezekana wanamwonea wivu kwa kilichomtokea huyo binti,,,hapo walipo wanatamani wawatolee dhamana hao jamaa ili nao wapatiwe hiyo huduma!!
Kabisa kama kuna wakati huyu fala whozu alitengeneza video na wakiana yule kima wa wasafi na huyu fala wa nandy wakionesha demu anabakwa kwa nguvuMiziki yenyewe wanayoimba inahamasisha kunyanduana na kuzibuana mitaro
Ova
Embu tuone hio vedeo sweetheart...Kabisa kama kuna wakati huyu fala whozu alitengeneza video na wakiana yule kima wa wasafi na huyu fala wa nandy wakionesha demu anabakwa kwa nguvu
Ni music video nafikiri huyo dogo alifungiwa na kupiga fine.Embu tuone hio vedeo sweetheart...
Alikwenda siku ya hatari jamaa akiwa amechoka kumvumilia πAlaa kumbe alikwenda. Sasa alikuwa anatuimbia haendi alikuwa anamaanisha nini?
Amuokoe pacha wakeZuchu wangu kawafanya nini tena jamni.....
Alisema haji na akaenda ππZuchu wangu kawafanya nini tena jamni.....
Basi ww utakuwa mnene aka mkubwa heavy weight. Manake mtu aliomba maji paleWee pale kulikua na tiktak ganii? Mbona show ya kiwaki iliyotawaliwa na kelele uchwaraa tyuuh.
Acha kuwapa promo vibaka wa mtaani. Lol
Amuokoe pacha wake
Weeeeh unaanza kunitibua sasa....Alisema haji na akaenda ππ
KalaliwaMwenye simu amelala et...
Amekuja na kupigwa mtungo π
Anakimbia tuu huku akiwa amelala...Kalaliwa