Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Umeelewa maana ya kufanya kazi Kwa rotations ?
Hii nchi haijawahi kuwa na ukosefu wa walinzi , kwanza polisi na jwtz hao vibaka wanalinda nini nchi hii ?
Hawa wapuuzi waliowahi mdunga mtu sindano ya sumu na kupora pesa zake , hawa washenzi wana tofauti gani na majambazi au wakora wa huku mitaani ?
Wapuuzi wanakula mishahara ya bure na kupata muda wa kuanza kuwaza kubaka raia , dawa ni kuwakeep busy na kuwanyooshea kwa kazi za shuruba wasahau hata kuwaza ngono na adabu iwaingie vizuri
Japokuwa umetumia lugha kali yenye ukakasi ktk kuwasilisha Hoja yako, lakini hoja yako Ina ukweli mchungu kwa kiasi fulani.
 
Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.

Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.

Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
umeshasema wanatingisha makalio,so inawezekana wanamwonea wivu kwa kilichomtokea huyo binti,,,hapo walipo wanatamani wawatolee dhamana hao jamaa ili nao wapatiwe hiyo huduma!!,,,,wee unafikiri hamna baadhi ya wasanii wanfanyaga izo mambo kwa hiari yao??? na wanamudu!!!...."tuombee watoto wa2 wa kike,huko kitaa kuna mambo yanatia aibu,,,,,,,,,"
 
Miziki yenyewe wanayoimba inahamasisha kunyanduana na kuzibuana mitaro

Ova
 
Wee pale kulikua na tiktak ganii? Mbona show ya kiwaki iliyotawaliwa na kelele uchwaraa tyuuh.
Acha kuwapa promo vibaka wa mtaani. Lol
Basi ww utakuwa mnene aka mkubwa heavy weight. Manake mtu aliomba maji pale
 
Amuokoe pacha wake
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom