cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee pale kulikua na tiktak ganii? Mbona show ya kiwaki iliyotawaliwa na kelele uchwaraa tyuuh.Ile Shoo wameipenda kimya kimya. Infact hizo tiktaka ndio wanabamizwa sana. Ile kwao wanaona ni kawaida
Acha kuwapa promo vibaka wa mtaani. Lol