Labda jeshi la wachawi.Jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani. Yaani baada ya US, Russia, UK, France, Germany ni sisi. Kumbuka hilo ohooo! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Kama hujaelewa kiswahili nikiandika kingereza utaelewa?Mkuu hebu fafanua kidogo. Hii inahusianaje na hawa mbwa kumbaka huyu binti? π³
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii,Mtani Lol.
Kuonekana tu kwenye zile video,jeshi makini haliwezi kukuacha.Watafukuzwa jeshi baada hukumu wqkibainika .....
Usichanganye mambo, jeshi haliendeshwi hivyo.Watafukuzwa jeshi baada hukumu wqkibainika .....
Inasikitisha sana mkuuHii video ngoja niifute tu aise yaani kila nikiiangalia inatia huruma njemba 5 mpaka dada wa watu analia anaomba apewe maji ya kunywa
Ile video kwa kweli inaumiza sana. Kama ndiyo binti yangu anafanyiwa hivyo hata sijui nitafanya nini wallahi.Yaani Binadamu wamekosa UTU kabisa ππ.
Kifungo tu hakiwatoshi, wafanyiwe maamuzi magumu zaidi.
Na kwanini aulizwe na kujibu kupitia ujumbe wa Whatsap?
Hata hili makini sanaa wana court marshal.zao sidhani kama wataponaKuonekana tu kwenye zile video,jeshi makini haliwezi kukuacha.
Weee. Mtani mie sijaiona hata hiyo video naisikia tu. Lol.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii,
Wee hujaona vile viboroo vimelegea kabisaa, nguvu hawana, wamejaa mafujo uchwaraa tyuuh
Sawa acha sheria ifuate mkondo wakeUsichanganye mambo, jeshi haliendeshwi hivyo.
Ushahidi wa tuhuma zao uko wazi siyo wa kuutafuta, marshal court inamalizana nao siku moja tu, wanavuliwa kombati, wanafutwa kazi na wanakabidhiwa Polisi waendelee nao.
Nasikia wanaendaga kuchukua wafungwa au mahabusu wa mbali na kusema wamewakamata! Au wamedaka tu vijana wa kiume na kuwapa msala!!Hongereni sana Jeshi la polisi ,hatuwezi kufuga WAHUNI nchini...Ingependeza waonyeshwe ili tu-confirm kama ni wao isije ikawa adakadabra.
Kwa wale wazee wa bangbros wanaona kawaidaWanaume watano na mwanamke mmoja, huu ni ukatili Sana huu ni ukosefu wa maadili na utu kibinadamu
Hayo unasikiaga, kwa hili picha za watuhumiwa tunazo hakuna namna yoyote ya kutuletea akadakabra.Nasikia wanaendaga kuchukua wafungwa au mahabusu wa mbali na kusema wamewakamata! Au wamedaka tu vijana wa kiume na kuwapa msala!!
Unapata dhambi Sana kwa sababu Binti ameomba kupumzishwa wahuni hawataki kweli sio haki.Kwa wale wazee wa bangbros wanaona kawaida
Wataalamu wanajua hiyo style ina jina lake kabisa mambo ya gangbang hayo π₯Unapata dhambi Sana kwa sababu Binti ameomba kupumzishwa wahuni hawataki kweli sio haki.
Mtanii unaambiwa ni captain wa jeshi katuma wajeda wambake na kumlawiti binti huyo, kisa alitembea na mume wake. LolWeee. Mtani mie sijaiona hata hiyo video naisikia tu. Lol.
Ila bana haya mambo haya Mtani itoshe kusema tu sheria ifuate mkondo wake.