Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Mkuu hebu fafanua kidogo. Hii inahusianaje na hawa mbwa kumbaka huyu binti? 😳
Kama hujaelewa kiswahili nikiandika kingereza utaelewa?

Huyo mwanamke anayejifanya ana wivu utakuta yeye ndio chanzo na sababu ya mume wake kutafuta nyapu nje.

Nina ushahidi mkubwa wa wanawake wanavyo mishandle ndoa zao, halafu akitafuta demu nje wanajifanya wana wivu, tunaishi na vichaa majumbani.

Niliwahi kuandika huko nyuma, zile draya za salon zimeharibu ubongo wa wanawake wengi.

Fuatilia mwanamke ambaye ananyowa nywele na kuchana na hawa wanaotundika mabichwa yao kwenye draya za salon utapata majibu wepi ni smart upstairs.
 
Yaani Binadamu wamekosa UTU kabisa 😭😭.

Kifungo tu hakiwatoshi, wafanyiwe maamuzi magumu zaidi.

Na kwanini aulizwe na kujibu kupitia ujumbe wa Whatsap?
Ile video kwa kweli inaumiza sana. Kama ndiyo binti yangu anafanyiwa hivyo hata sijui nitafanya nini wallahi.

Nasikia kuwa hao vijana wote ni wanaulinzi wetu. Ngoja tuone itakavyokuwa lakini kama sheria itashindwa kuchukua mkondo wake kisa ni wanaulinzi ndiyo tutajua tuna jamii ya namna gani πŸ˜’
 
Weee. Mtani mie sijaiona hata hiyo video naisikia tu. Lol.

Ila bana haya mambo haya Mtani itoshe kusema tu sheria ifuate mkondo wake.
Mtanii unaambiwa ni captain wa jeshi katuma wajeda wambake na kumlawiti binti huyo, kisa alitembea na mume wake. Lol

Sheria ifuate mkondo wake, Wallah.
 
Back
Top Bottom