Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
wazazi wanaingia vp

yawezekana wazazi wamehonga hadi nyumba vijana wapate kazi iyo ila upumbavu wao ndo matokeo haya kuwaingiza wazazi n kuwaumiza mara mbili

wale vijana ni zao la upumbavu uliopo kwenye jamii kwamba ukiwa askari polisi, mgambo, mwanajeshi basi ni tiketi ya kufanya upumbavu
 
Hizo ni story feki wangekua raia wa kawaida ungemuona IGP na david misime wanaongea mpka mishipa ya shingo inawatoka....upande wa pili ungemuona jokate wa uvccm na mwenyekiti wa wasimbe uwt wakipongeza jeshi la policeccm
 
Kama hujaelewa kiswahili nikiandika kingereza utaelewa?
Tukishindwa Kiingereza tunahamia kwenye Kisukuma. Bagosha!

➡️➡️➡️ Umetoa maelezo marefu lakini bado sijaona uhusiano wake na hili tukio la ubakaji. Kama kuna
mwenye D mbili aliyeelewa naomba anieleweshe uhusiano mwanana uliopo kati ya wanawake kuchezea ndoa zao na huyu binti kupigwa mande na hawa wabakaji.

Anyway, ngoja nifuatilie ulikoanzia labda nitaelewa. Just bear with me. I am just trying to connect the dots; and see if what these delivish hooligans did to this innocent girl can be somehow justified as you are trying so hard to do here.
 
Mbona LHRC wametoa tamko na wengine wamelaani tukio.
 
Hii video ngoja niifute tu aise yaani kila nikiiangalia inatia huruma njemba 5 mpaka dada wa watu analia anaomba apewe maji ya kunywa
Hayo wameyafanya kwa huyo binti. Mangapi wamefanya kwa watu wengine pia? Baadhi ya vijana ni janga kabisa! Badala ya kutumia nguvu zao kuleta maendeleo, wanazitumia kuleta uharibuifu.
 
Mbona wwe pia unachepuka na waume za watu lakini hubakwi!? Kama mwanamke kashindwa kumlinda mume wake asichepuke,basi mpumbavu ni huyo mke, maana hata maadiko yanasema 'mwanamke mpumbavu ativunja ndoa yake yeye mwenyewe " tafakuru Dada!!
Pointi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…