cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar,Sawa Dogo...
Fanya chap Dada aelewe kinachoendelea[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar,Sawa Dogo...
Fanya chap Dada aelewe kinachoendelea[emoji23]
Dada nakusalimia....
wazazi wanaingia vp1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
Hizo ni story feki wangekua raia wa kawaida ungemuona IGP na david misime wanaongea mpka mishipa ya shingo inawatoka....upande wa pili ungemuona jokate wa uvccm na mwenyekiti wa wasimbe uwt wakipongeza jeshi la policeccmWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Wewe wasema. Achilia mbali kupewa Kuna wengine hawataki hata kuguswa!Kaka nisikilize mimi hakuna mwanamke anamnyim* mwanaume kwa makusudi atii.
Tukishindwa Kiingereza tunahamia kwenye Kisukuma. Bagosha!Kama hujaelewa kiswahili nikiandika kingereza utaelewa?
Daah! Kwa hiyo unataka kusema ni kiburi cha kuitwa mke pekee ndo kimesababisha hayo?Wewe wasema. Achilia mbali kupewa Kuna wengine hawataki hata kuguswa!
Hapo kavaa taiti fupi na ndefu + skin jeans halafu kaifunga style ya high waist!
Mbona LHRC wametoa tamko na wengine wamelaani tukio.Wapandishwe kizimbani tuwaone.
Huyo Aliyewatuma Kwa nini analindwa?
Mwisho Sijaona taasisi za Wanawake zikipaza sauti kumtetea binti.
Ni wazi wanawake ni watu wenye roho mbaya na hapo wamekausha kana kwamba Hakuna kilichotokea.
Sijajua Haki sawa wanazotaka Huwa ni kuteuliwa au kufanyaje
Wale ni General,nataka wale ambao ni specific Kwa Wanawake kama ilivyokuwa Kwa yule RCMbona LHRC wametoa tamko na wengine wamelaani tukio.
Unataka uone ini?
Rrondo bhana....Kwamba ini limeonekana?Unataka uone ini?
Namkubali sana huyu maza basi tu 😁...mwenyekiti wa wasimbe uwt
Hayo wameyafanya kwa huyo binti. Mangapi wamefanya kwa watu wengine pia? Baadhi ya vijana ni janga kabisa! Badala ya kutumia nguvu zao kuleta maendeleo, wanazitumia kuleta uharibuifu.Hii video ngoja niifute tu aise yaani kila nikiiangalia inatia huruma njemba 5 mpaka dada wa watu analia anaomba apewe maji ya kunywa
Kweli unataka kuona mtoto akibakwa? Ukiombq kuona hio video maanake unataka kuona mtoto akibakwa. It's sad.Rrondo bhana....Kwamba ini limeonekana?
Umeshamuona huyo binti mpaka sasa ana hali gani?Ila binti kajitahidi sana kuwahimili wale njema! Mimi ningekua nishakufa
Una uhakika hao wahalifu ni wanajeshi ?Jeshi makini lingewatoa hawa wahalifu kabla ya polisi kuwakamata.
Pointi.Mbona wwe pia unachepuka na waume za watu lakini hubakwi!? Kama mwanamke kashindwa kumlinda mume wake asichepuke,basi mpumbavu ni huyo mke, maana hata maadiko yanasema 'mwanamke mpumbavu ativunja ndoa yake yeye mwenyewe " tafakuru Dada!!
Mie sijambo mdogo wangu. Niliuona hapa nasubiria tarehe 08.Dada nakusalimia....
Uliuona Ubaya Ubwela lakini?🤣🤣🤣