Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
wazazi wanaingia vp

yawezekana wazazi wamehonga hadi nyumba vijana wapate kazi iyo ila upumbavu wao ndo matokeo haya kuwaingiza wazazi n kuwaumiza mara mbili

wale vijana ni zao la upumbavu uliopo kwenye jamii kwamba ukiwa askari polisi, mgambo, mwanajeshi basi ni tiketi ya kufanya upumbavu
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Hizo ni story feki wangekua raia wa kawaida ungemuona IGP na david misime wanaongea mpka mishipa ya shingo inawatoka....upande wa pili ungemuona jokate wa uvccm na mwenyekiti wa wasimbe uwt wakipongeza jeshi la policeccm
 
Kama hujaelewa kiswahili nikiandika kingereza utaelewa?
Tukishindwa Kiingereza tunahamia kwenye Kisukuma. Bagosha!

➡️➡️➡️ Umetoa maelezo marefu lakini bado sijaona uhusiano wake na hili tukio la ubakaji. Kama kuna
mwenye D mbili aliyeelewa naomba anieleweshe uhusiano mwanana uliopo kati ya wanawake kuchezea ndoa zao na huyu binti kupigwa mande na hawa wabakaji.

Anyway, ngoja nifuatilie ulikoanzia labda nitaelewa. Just bear with me. I am just trying to connect the dots; and see if what these delivish hooligans did to this innocent girl can be somehow justified as you are trying so hard to do here.
 
Wapandishwe kizimbani tuwaone.

Huyo Aliyewatuma Kwa nini analindwa?

Mwisho Sijaona taasisi za Wanawake zikipaza sauti kumtetea binti.

Ni wazi wanawake ni watu wenye roho mbaya na hapo wamekausha kana kwamba Hakuna kilichotokea.

Sijajua Haki sawa wanazotaka Huwa ni kuteuliwa au kufanyaje
Mbona LHRC wametoa tamko na wengine wamelaani tukio.
 
Hii video ngoja niifute tu aise yaani kila nikiiangalia inatia huruma njemba 5 mpaka dada wa watu analia anaomba apewe maji ya kunywa
Hayo wameyafanya kwa huyo binti. Mangapi wamefanya kwa watu wengine pia? Baadhi ya vijana ni janga kabisa! Badala ya kutumia nguvu zao kuleta maendeleo, wanazitumia kuleta uharibuifu.
 
Back
Top Bottom