Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Tumepigwa na kitu kizito
Nijuavyo hilo jeshi lake likifanikisha jambo lazima lijipambanue kwenye media "... headline Jeshi Imara limefanikiwa...."
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Wako wapi ? Kwa nini Afande hajakamatwa?
 
Ambao hatujaona hizo clip hizi tuhuma tutaziamini vipi tutendeeni na sisi haki ya kikatiba yujiridhishe kwanza ndipo tujue kama kweli walifanya makosa au laaaaa
Siyo lazima wewe uamini, mahakama ndio chombo cha kutenda haki.

Najuta kuangalia hizo clip zinatia hasira na huzuni.

Kama shida yako ni kuangalia connection zimejaa kibao mitandaoni lakini hiyo clip haifai kuangalia.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Na ninyi wandishi mmekosea, baada ya huo ujumbe wake mngemuuliza IGP papohapo ungesikia tupo kwenye mchakato
 
Jeshi lenu limejaa wahalifu na watu wasio na maadili. Nawaambia watanzania siku watawala wenu vihiyo wakijichanganya kwa mzee wetu Kagame tutalichapeni jeshi lenu na kuirudisha mikoa yetu ya Kigoma na Kagera.
 
Na ninyi wandishi mmekosea, baada ya huo ujumbe wake mngemuuliza IGP papohapo ungesikia tupo kwenye mchakato
Hawa mpaka wapewe ultimutum na Rais ndio utasikia watuhumiwa wapo mbaroni na wanamulikwa na makamera.

Tukana kiongozi wa serikali masaa 24 mengi Polisi washakamata, ila tukio hili la zaidi ya unyama Polisi wanakwenda mwendo wa jongoo na kukimbia speed ya kobe.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa waliombaka na kumlawiti msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la Afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
 
Apa tumepigwa change la macho kuna wanangu wapo nao apo msata jamaa wapo na hawana ata wasiwasi yani kama amna kilichotokea anaendlea na mishe zao..
 
Back
Top Bottom