Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Tunataka kujua mwenendo mzima wa kesi,naamini jeshi lishanawa mikono tayari sio watu wao tena,order zishasambazwa vikosi vyote
 
Kweli Tarehe 8 ifike tu...Tunawasuburi..Ila msije na visingizio..

Dada!!Ujue mwanzoni wakati nalisikia hili sakata nikidhani ni Yale Yale sikulipa uzito sana....Sasa kila nikiingia mitandaoni nakutana nalo...Nikaona isiwe shida hebu ngoja nione...

Ila sasa nimeacha...Tuwe wote...Hiyo dhambi naikwepa😄
Hahahaa. Mujiandae tu tarehe 09 kushindwa kuamka kwenda kulijenga Taifa sababu ya kipigo. 🤣🤣

Ewaaa! Haya ndio maneno mdogo wangu tutawaona siku wakipelekwa mahakamani. 🤝
 
Wewe ambae umezoea hayo mambo utaona ni vibamia lakini ile inaathari kubwa sana kubakwa bila ridhaa no utelezi famchezo!

Plus kuharibika kisaikolojia yule binti anahitaji apate daktari wa kumtibu mwili mpaka akili.

Vipi kama hao watu wana magonjwa?
Kibamia sawa lakini kilikua kinaingia na kumuumiza binti.
Tho kajitahidi sana kuvumilia ile mikiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, woiiiiiih
 
Vile viba100 ukufe kwa kipii? Afu sasa vimelegeaa havina hata nguvuu.
Hao wajeda wenyewe wamekauka mbavu zinahesabikaa,

Yule wa kutaka joker, anavimba na maneno makalii, boxer hata kutuna hakunaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu wanasema ni makomandoo, ndo nabakii kuchokaa kabisaaa.
Utadhani wapiga vigoma wa manzese Argentina, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah! Tutayasikia mengi sana Mtani.

Saa ingine ukute ni Wahuni tu na hicho walichofanya ndio kazi zao, hapo sababu wamemtaja Afande basi wamegeuzwa gumzo na kupewa vyeo visivyo hata vyao kama yule muuza madafu.
 
Wapo mtaani hawajakamatwa toka lini taarifa ya waharifu wasitoe Polisi atoe Waziri...
Sheria za kijeshi wale watavuliwa uaskari halafu watakabidhiwa kwa polisi,sasa hivi watakua chini ya military police nimeona waziri gwajima kule x kasema kuna taratibu zinafuatwa baada ya hapo kila kitu kitakua wazi
 
Vile viba100 ukufe kwa kipii? Afu sasa vimelegeaa havina hata nguvuu.
Hao wajeda wenyewe wamekauka mbavu zinahesabikaa,

Yule wa kutaka joker, anavimba na maneno makalii, boxer hata kutuna hakunaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu wanasema ni makomandoo, ndo nabakii kuchokaa kabisaaa.
Utadhani wapiga vigoma wa manzese Argentina, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wa Agentina na Tiptop usituletee dharau
 
Hahahaa. Mujiandae tu tarehe 09 kushindwa kuamka kwenda kulijenga Taifa sababu ya kipigo. 🤣🤣

Ewaaa! Haya ndio maneno mdogo wangu tutawaona siku wakipelekwa mahakamani. 🤝
Dada Dada!!!!
Tutawandandika vibaya...Nakutaadharisha mapema🤣🤣

Amen Dada....Na haki Itendeke tu kwa kweli...
 
Sheria za kijeshi wale watavuliwa uaskari halafu watakabidhiwa kwa polisi,sasa hivi watakua chini military police nimeona waziri gwajima kule kasema kuna taratibu zinafuatwa baada ya hapo kila kitu kitakua wazi
Kesi ya Kubaka mbaya ni SA bora uue mtu hao jamaa hata huko selo sijui kama wangeona mwanga tena Gang rape ndio kabisaa wanapigwa sindano huku wakiwa wanaudhuria Mahakamani..
 
Back
Top Bottom