RUFIJI VALLEY
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 112
- 225
Labda kama walitumia vijiti. Miaka 9 ni wadogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah m5, wengine mwezi tu mnara unasomaHivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Haiwezekani, miaka 5 hawezi kumtoa mwenzake damuYaani anapiga show kiasi cha kuweza kuumiza?
Umri wa mtoto kushtakiwa kwenye jinai nadhani ni miaka kumi. Chini ya hapo wana utetezi unaitwa doli incampax......incapable of evil hawashtakiki hao sio juveni court sio popote paleWalitakiwa kushtakiwa mahakama ya watoto. Hao watoto wataendeleza huo mchezo hadi wakiwa wakubwa.
Okay...asante kwa elimu.Umri wa mtoto kushtakiwa kwenye jinai nadhani ni miaka kumi. Chini ya hapo wana utetezi unaitwa doli incampax......incapable of evil hawashtakiki hao sio juveni court sio popote pale
Katoto tangu kanazaliwa kadudu kanainuka.Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Mbona unaonekana kama umefurahia hiki alichofanyiwa huyo mtoto ?Huyu mama uzembe unamgharimu sana.
Mtoto wa miaka 3 unamwacha muda mrefu bila kujua yuko wapi na yupo na nani.
Apambane tu.
Siwezi kufurahia ushetani abadan.Mbona unaonekana kama umefurahia hiki alichofanyiwa huyo mtoto ?
Huyo mama wa mtoto ndio anatakiwa afungwe kwa kumtelekeza mtoto mchanga hadi akalawitiwa.Huyu mama uzembe unamgharimu sana.
Mtoto wa miaka 3 unamwacha muda mrefu bila kujua yuko wapi na yupo na nani.
Apambane tu.
Hawa watoto wanaoangalia video za utupu kila siku kwa nini wasidindishe?Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Hapo kwenye bold umeisoma wapi kwenye Mada?Siwezi kufurahia ushetani abadan.
Nimechukizwa sana na kitendo cha mama wa mtoto kumtelekeza mwanawe masaa kadhaa mpaka anafanyiwa unyama.
Mtoto analelewa na mama yake, wala usidanganyike kama kuna mtu mwingine atakulelea mwanao.
Fikiria mara mbili.Hapo kwenye bold umeisoma wapi kwenye Mada?
Ni kwamba Mfumo Dume umekutawala kiasi Huoni mwingine kabisa wa kulaumiwa ila mama wa mtoto?
Kwahiyo sheria inasema kwamba ni ruksa kumdhuru mtoto kwa kumlawiti “anapotelekezwa?
Utu Una maana gani kwako?
Uzembe ndio upo lakini haina maana anastahiki lawama za mtoto wake kulawitiwa as if kampeleka mwanae kwenye miguu ya huyo Baradhuli mlawiti.Fikiria mara mbili.
Unapoacha mali nje ya nyumba yako zikiibwa ni kweli kwamba atatafutwa mwizi, atakamatwa, atashtakiwa na atahukumiwa.
Lakini kwa waliojaaliwa jiche pana wataona namna ulivyozembea.
Ingekua rahisi hivyo, sheria wala magereza visingekuwepo kabisa.Kila kitu kikae mahali salama ili kuepusha vishawishi vya uvunjifu wa sheria.
Jamii nzima inatakiwa kuwalinda na kuwaheshimu watoto, popote wakati wowote.Serikali, taasisi za dini na jamii kwa ujumla inashauri wazazi na walezi kuwa karibu na watoto ili kuwalinda.
Hukumpa mama “sehemu ya lawama, umempa lawama zote.Ni kweli andiko halijafafanua mazingira ya huyu mtoto kulawitiwa, wala halijasema wakati mtoto analawitiwa mama yake alikuwa wapi.
Katika hali kama hiyo si vema kuangalia upande mmoja.
Mama ana sehemu ya lawama na hasa kutokana na umri wa mtoto.
Sijaona popote ulipouliza baba wa mtoto nae alikua wapi wakati mtoto ametelekezwa na mama yake.Mtoto huyu angekuwa na umri wa kwenda shule tusingemlamu mama.
Lakini mtoto wa miaka mitatu anahitaji ukaribu wa mzazi au mlezi.
Kwamba wewe sio mzazi na hautokua mzazi kamwe?Wakati huu tulionao kama wazazi mna majukumu mengi suala la kuzaa wekeni pembeni kwa muda.
Unazaa mtoto unamuacha kwa jirani unaenda kazini kwa imani kwamba jirani atakulelea mwanao, hilo ni tatizo.