Watuhumiwa waliolawiti mtoto Arusha wakosa sifa ya Kushtakiwa kwa kosa la Jinai kwa kutokuwa na umri sahihi

Walitakiwa kushtakiwa mahakama ya watoto. Hao watoto wataendeleza huo mchezo hadi wakiwa wakubwa.
Umri wa mtoto kushtakiwa kwenye jinai nadhani ni miaka kumi. Chini ya hapo wana utetezi unaitwa doli incampax......incapable of evil hawashtakiki hao sio juveni court sio popote pale
 
Inafikirisha sana lakini?

Sioni kama kuna urafiki wa Siri hivyo kwa mtoto wa miaka 5 na 9 Hili ni swali kubwa sanaa.
Nani alitoa ushahidi?au walipatikanaje ni huyo wa miaka mitatu Ndio kasema hayo?

Kuna mtu mzima hapo sio bure,watoto
Tuanze kuwakanya watoto wetu kutoruhusu kushikwa sehem zao nyeti.
 
Sasa watoto wanatizama matamthiliya yenu
Watoto wanatizama na kusikia mamiziki yenu,sjui mzk unaitwa kayatimba,inama nkuchomeke nkupake mafuta
Watoto wanachez wanakatikaaa
Mnategemea nini

Ova
 
Huyu mama uzembe unamgharimu sana.
Mtoto wa miaka 3 unamwacha muda mrefu bila kujua yuko wapi na yupo na nani.
Apambane tu.
Mbona unaonekana kama umefurahia hiki alichofanyiwa huyo mtoto ?
 
Siwezi kufurahia ushetani abadan.
Nimechukizwa sana na kitendo cha mama wa mtoto kumtelekeza mwanawe masaa kadhaa mpaka anafanyiwa unyama.
Mtoto analelewa na mama yake, wala usidanganyike kama kuna mtu mwingine atakulelea mwanao.
 
Ndio maana pale eneo la Mwananchi, jijini Mwanza raia fulani wenye hasira walitaka kumuua mtoto wa jirani yao kwasababu anawafanyia ufedhuli huo watoto wao.

Ashukuru Polisi waliwahi kwenye tukio, wazazi wake wangekuwa wanalia saa hizi. Kanda ya Ziwa hawatakagi ujinga kabisa!
 
Huyu mama uzembe unamgharimu sana.
Mtoto wa miaka 3 unamwacha muda mrefu bila kujua yuko wapi na yupo na nani.
Apambane tu.
Huyo mama wa mtoto ndio anatakiwa afungwe kwa kumtelekeza mtoto mchanga hadi akalawitiwa.
 
Siwezi kufurahia ushetani abadan.
Nimechukizwa sana na kitendo cha mama wa mtoto kumtelekeza mwanawe masaa kadhaa mpaka anafanyiwa unyama.
Mtoto analelewa na mama yake, wala usidanganyike kama kuna mtu mwingine atakulelea mwanao.
Hapo kwenye bold umeisoma wapi kwenye Mada?

Ni kwamba Mfumo Dume umekutawala kiasi Huoni mwingine kabisa wa kulaumiwa ila mama wa mtoto?

Kwahiyo sheria inasema kwamba ni ruksa kumdhuru mtoto kwa kumlawiti “anapotelekezwa?

Utu Una maana gani kwako?
 
Fikiria mara mbili.
Unapoacha mali nje ya nyumba yako zikiibwa ni kweli kwamba atatafutwa mwizi, atakamatwa, atashtakiwa na atahukumiwa.
Lakini kwa waliojaaliwa jiche pana wataona namna ulivyozembea.

Kila kitu kikae mahali salama ili kuepusha vishawishi vya uvunjifu wa sheria.
Serikali, taasisi za dini na jamii kwa ujumla inashauri wazazi na walezi kuwa karibu na watoto ili kuwalinda.

Ni kweli andiko halijafafanua mazingira ya huyu mtoto kulawitiwa, wala halijasema wakati mtoto analawitiwa mama yake alikuwa wapi.
Katika hali kama hiyo si vema kuangalia upande mmoja.

Mama ana sehemu ya lawama na hasa kutokana na umri wa mtoto.
Mtoto huyu angekuwa na umri wa kwenda shule tusingemlamu mama.
Lakini mtoto wa miaka mitatu anahitaji ukaribu wa mzazi au mlezi.

Wakati huu tulionao kama wazazi mna majukumu mengi suala la kuzaa wekeni pembeni kwa muda.
Unazaa mtoto unamuacha kwa jirani unaenda kazini kwa imani kwamba jirani atakulelea mwanao, hilo ni tatizo.
 
Uzembe ndio upo lakini haina maana anastahiki lawama za mtoto wake kulawitiwa as if kampeleka mwanae kwenye miguu ya huyo Baradhuli mlawiti.

Kila kitu kikae mahali salama ili kuepusha vishawishi vya uvunjifu wa sheria.
Ingekua rahisi hivyo, sheria wala magereza visingekuwepo kabisa.

Serikali, taasisi za dini na jamii kwa ujumla inashauri wazazi na walezi kuwa karibu na watoto ili kuwalinda.
Jamii nzima inatakiwa kuwalinda na kuwaheshimu watoto, popote wakati wowote.

Ni kweli andiko halijafafanua mazingira ya huyu mtoto kulawitiwa, wala halijasema wakati mtoto analawitiwa mama yake alikuwa wapi.
Katika hali kama hiyo si vema kuangalia upande mmoja.

Mama ana sehemu ya lawama na hasa kutokana na umri wa mtoto.
Hukumpa mama “sehemu ya lawama, umempa lawama zote.

Mtoto huyu angekuwa na umri wa kwenda shule tusingemlamu mama.
Lakini mtoto wa miaka mitatu anahitaji ukaribu wa mzazi au mlezi.
Sijaona popote ulipouliza baba wa mtoto nae alikua wapi wakati mtoto ametelekezwa na mama yake.

Wakati huu tulionao kama wazazi mna majukumu mengi suala la kuzaa wekeni pembeni kwa muda.
Kwamba wewe sio mzazi na hautokua mzazi kamwe?

Jukumu la kulinda utu na thamani yake ni jukumu la kila mmoja sio Wazazi pekee.

Back
Top Bottom