Watuma salamu maarufu waliotamba kwenye vipindi mbalimbali vya Redio

Enzi za kadi RTD ......wakaweka kabisa live stand ya mkoa.......Bokoman Mkongoman,Wajadi fundi wajadi, binadamu mashaka 🤣🤣🤣
 
Kuna wadau mpaka mtu unashangaa anasikilizaje redio maana kila unapotune unamsikia anatajwa 🤣 Mfano Chesko muuza matunda RFA unamsikia,redio Tanzania unamsikia,DW pia unamsikia akitajwa
Kazi za watu hizo mkuu🤣🤣🤣
 
Kumbe hiyo style bado ipo! Mimi mbeba box huku Mkuu sina access ya kusikiliza mpira wa huko.
 
Manka Mushi, Jumanne Sebarua Tingisha, Muhiri obare. Watoto wa 2005 hawataelewa kitu
 
Huyu ndy Yule wa kutuma Salamu nyingi Hadi mtangazaji anachukia?
Hapana, huyu alikuwa akianza kuitika inabidi na muziki uzimwe studio. Alipenda sana kupiga simu RFA ila siku moja nikamsikia Radio One. Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
 
Kuna huyo mdada alikuwa anaitwa Manka Mushi alienda wapi? Sema huyo Baba Mzazi Baba kutoka Makongorosi Chunya nampenda Sana na Mungu amzidishie huwa anasaidia wenye uhitaji kupitia redioni.
 
Ahahahah unatujazia seva mkuu..kitukia gani huko Kwa kukera[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…