Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa kuning'inia kwenye Tawi la mchicha nimecheka sn asee[emoji28]..alafu siyo tu ananing'inia,bali pia bingwa wa kuning'inia' ahahaha
Time is fleeting!!
Kuna yule alikuwa Radio free wakuitwa mwili obareeeeMiaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news' , Zamani redio ilikuwa chombo muhimu ktk kupata taarifa na burudani
Leo nimewakumbuka wale watuma salamu maarufu enzi zile,ingawa hata sasa wapo baadhi ya watu ambao ni maarufu ktk vipindi mbalimbali ukisikiliza redio km clouds mfano kuna heri dereva babaji,shangwe dereva babaji, Daudi wakota nk
Enzi hizo ukisikiliza kipindi cha mirindimo asilia na Malima Nderema au salamu Kwa wagonjwa,kuna majina maarufu huwezi kuacha kuyasikia wakati wa kutuma salamu
Kuna huyu jamaa wa kuitwa Wajadi fundi Wajadi binadamu mashaka,yeye kila siku yupo safarini kuelekea mahuta shimoni,fundi Khamisi full migebuka wa mwandiga fashion sokoni kigoma
Lawena Msonda Baba mzazi kutoka chunya Mbeya
Ally Mrangi Gigiri Mresa yeye mar kila siku yupo safarini kuelekea mabibo Dar es salaam
Zakaria Ndemfoo, Issa Mzee wa urembo kutoka Moshi.Lupa tingatinga "mdau asiyechuja" ndiyo ilikuwa slogan yake
Bila kumsahau Chesko Mzee wa matunda kutoka Africa Sana
Kuna mdau akiitwa Limonga Justine Limonga na kuna huyu mama Abuu wa majani mapana.Kuna jamaa aliitwa Fikiri Dario Gakala wa GGM Geita na Filbert Kyenshambi kutoka Muleba-Nshambi,wapo wengi sn na tulikuwa tunaenjoy sn Enzi hizo
Unawakumbuka baadhi? Unazikumbuka kauli mbiu zao maarufu zilizotamba?
Aliitwa Chesko Mzee wa matunda kutoka sinza Africa sanaPasco Mzee Wa matunda sinza
Dah🤣🤣Maanake huwenda kuna wengine wakawa wanajaribu jaribu kuning'inia kwenye tawi la mchicha,sasa mwamba ndo alikuwa bingwa wa hayo makarateee😂😂😂😂😂😂
Sharo gangster wa juzi huyu,wenzie kina shangwe dereva bajaji,king majuto, na daudi wakota kabla hajachukuliwa clouds mediaWapiiii jimmy shirikisho raisi wa mwenge,sharo ganstar,zibwalabwatah,mtoto wa vitoto,
Hiyo naam imezidi kwa urefu. Jamaa siku hizi simsikii kabisaHapana, huyu alikuwa akianza kuitika inabidi na muziki uzimwe studio. Alipenda sana kupiga simu RFA ila siku moja nikamsikia Radio One. Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Manka Mushi bado yupo sana anaendelea.Kuna huyo mdada alikuwa anaitwa Manka Mushi alienda wapi? Sema huyo Baba Mzazi Baba kutoka Makongorosi Chunya nampenda Sana na Mungu amzidishie huwa anasaidia wenye uhitaji kupitia redioni.
hata mimiComment zote za juu nilikua natafuta hili jina [emoji3][emoji3]
Wapi Manka Mushi kitambo sana. Salamu zilikuwa enzi hizo bhana sio hawa watoto wa siku hizi wanajiita nyumba nyeupe.Manka Mushi bado yupo sana anaendelea.
Baba mzazi baba eh baba naachia laini. Nampenda sana huyu jamaa ni burudani kumsikiliza.Lawena Msonda
Huyu jamaa kuna muda mpaka nikahisi ni watangazaji wenyewe wanajitekenya na kucheka
Kuna huyo mdada alikuwa anaitwa Manka Mushi alienda wapi? Sema huyo Baba Mzazi Baba kutoka Makongorosi Chunya nampenda Sana na Mungu amzidishie huwa anasaidia wenye uhitaji kupitia redioni.