Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Ebony juzi hapa, kuna RFA miaka ya 2000 mwanzoni.., RTDNamkumbuka Kuna jamaa alikuwa anaitwa" Dibro dibara double D ,D kubwa mbili zenye ujazo" alikuwa lazima atume salamu kituo cha redio Ebony Fm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebony juzi hapa, kuna RFA miaka ya 2000 mwanzoni.., RTDNamkumbuka Kuna jamaa alikuwa anaitwa" Dibro dibara double D ,D kubwa mbili zenye ujazo" alikuwa lazima atume salamu kituo cha redio Ebony Fm
hahaha filbert kyauke jirani yangu.Kuna Filberty kyauke wa Mlandizi Tanzania, Baba Nurhat, fundi shani, Cheusi Mpambaji wa mashati Rombo,Mzee kwafi wa keni garden mzee ndemfoo(R.I.P)n.k nk
Daah makongorosi chunya inanikumbusha way back 1978Huyu LAWENA MSONDA nilikuwa napenda sana kumsikia amepiga simu kipindi cha "Ushauri wako" redio Free Africa. Naye alikuawa anapenda kupiga simu kipindi kinapotaka kuisha. Kabla unakuta watu wametoa ushauri wao sana wengine michango yao ya fedha na wengine wametoa ahadi au wameshauri client kuenda kwa DC au makanisani ili asaidiwe, then mwishoni anapiga simu baba mzazi baba eee babaaa😀, utasikia huyo Client aje makongorosi Chunya nitamtunza Mimi au nitagharamia matibabu yake yoteeeee😇 basi mimi hadi machozi ya furaha yalikuwa yananitoka aiseee.
Umewahi kupita kule mkuu? Sasa hiyo miaka miundo mbinu si ilikuwa ovyo sana mkuu?Daah makongorosi chunya inanikumbusha way back 1978
Ni Mhenga wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Kung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obare
Mtangazaji: Muhiri Obareee
Muhiri Obare: Naaaaaaaaaaaaaam
CorrectionKuna Paul misalaba wa namanyire nkasi
Golgota magabe wa shinyanga
hao huwa wakosekani ktk kipindi Cha ddw matangazon ya mchana kutoa kero au kupanda katka jukwa la manufa
CorrectionKuna Paul misalaba wa namanyire nkasi
Golgota magabe wa shinyanga
hao huwa wakosekani ktk kipindi Cha ddw matangazon ya mchana kutoa kero au kupanda katka jukwa la manufa