wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 285
- 150
Alikuwa anatamba sana Radio OneRogers Mwachali aka Roja Mo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anatamba sana Radio OneRogers Mwachali aka Roja Mo
Ulifanikiwa kukutana na paul misalaba wa nama nyere nkasHuyo Paul Msalaba nilipofika namanyere-Nkasi nilimtafuta ili nimuone kabisa kwasababu sio kwa kutuma salamu zile kwa wingi tena kila siku pale DW
Paul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sanaUlifanikiwa kukutana na paul misalaba wa nama nyere nkas
Mm pia niliwai kufanya Kaz pale nilimtafuta sijampat
Ahahaha ilikuwa Ni afsa ktk kampuni fln Sasa nilkuwa naenda marakwamara snaPaul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sana
Pale namanyere ulikuwa unafanya kazi wapi?......coz ule mji naujua vzr
Je Paulo yuko pale pale mjini au njje kidg wa mji wa nnkasiPaul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sana
Pale namanyere ulikuwa unafanya kazi wapi?......coz ule mji naujua vzr
Mm pia nimepita makongoros chunya lupa tingatingaHuyu MSONDA nilikuwa napenda sana kumsikia amepiga simu kipindi cha "Ushauri wako" redio Free Africa. Naye alikuawa anapenda kupiga simu kipindi kinapotaka kuisha. Kabla unakuta watu wametoa ushauri wao sana wengine michango yao ya fedha na wengine wametoa ahadi au wameshauri client kuenda kwa DC au makanisani ili asaidiwe, then mwishoni anapiga simu baba mzazi eee babaaa[emoji3], utasikia huyo Client aje makongorosi Chunya nitamtunza Mimi au nitagharamia matibabu yake yoteeeee[emoji56] basi mimi hadi machozi ya furaha yalikuwa yananitoka
Umewahi kupita kule mkuu? Sasa hiyo miaka miundo mbinu si ilikuwa ovyo sana mkuu?
Karibu hapa mbey mkuuMm pia nimepita makongoros chunya lupa tingatinga
[emoji28][emoji28] huyu jamaa naaaaam alikuwa anauwezo wa kuivuta hata dk nzima dah!Kung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obare
Mtangazaji: Muhiri Obareee
Muhiri Obare: Naaaaaaaaaaaaaam
Pale pale mjini na ndio maana ikawa ni rahisi kumpata.....ni watu maarufu kwenye mji ule,tena kwasasa huyo Paul ana duka la jumla la retail shopJe Paulo yuko pale pale mjini au njje kidg wa mji wa nnkasi
Lawena nsonda chunya iyoTop Manyota
Pius Dankala
Lawena Nsonda.
Kulikua poa tu...Huyu MSONDA nilikuwa napenda sana kumsikia amepiga simu kipindi cha "Ushauri wako" redio Free Africa. Naye alikuawa anapenda kupiga simu kipindi kinapotaka kuisha. Kabla unakuta watu wametoa ushauri wao sana wengine michango yao ya fedha na wengine wametoa ahadi au wameshauri client kuenda kwa DC au makanisani ili asaidiwe, then mwishoni anapiga simu baba mzazi eee babaaa😀, utasikia huyo Client aje makongorosi Chunya nitamtunza Mimi au nitagharamia matibabu yake yoteeeee😇 basi mimi hadi machozi ya furaha yalikuwa yananitoka
Umewahi kupita kule mkuu? Sasa hiyo miaka miundo mbinu si ilikuwa ovyo sana mkuu?
Kuna yule wa Igoma Mwanza wakuitwa Muhili Obale muite sasa jina lake uone balaa lake. Anaitika robo saa nzima. Hiyo ilikua Radio Free Africa.Miaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news', Zamani redio ilikuwa chombo muhimu ktk kupata taarifa na burudani.
Leo nimewakumbuka wale watuma salamu maarufu enzi zile,ingawa hata sasa wapo baadhi ya watu ambao ni maarufu ktk vipindi mbalimbali ukisikiliza redio km Clouds mfano kuna heri dereva babaji,shangwe dereva babaji, Daudi wakota n.k
Enzi hizo ukisikiliza kipindi cha mirindimo asilia na Malima Nderema au salamu Kwa wagonjwa,kuna majina maarufu huwezi kuacha kuyasikia wakati wa kutuma salamu.
Kuna huyu jamaa wa kuitwa Wajadi fundi Wajadi binadamu mashaka,yeye kila siku yupo safarini kuelekea mahuta shimoni, fundi Khamisi full migebuka wa mwandiga fashion sokoni Kigoma.
Lawena Msonda Baba mzazi kutoka chunya Mbeya.
Ally Mrangi Gigiri Mresa yeye mar kila siku yupo safarini kuelekea mabibo Dar es Salaam.
Zakaria Ndemfoo, Issa Mzee wa urembo kutoka Moshi.Lupa tingatinga "mdau asiyechuja" ndiyo ilikuwa slogan yake bila kumsahau Chesko Mzee wa matunda kutoka Africa Sana.
Kuna mdau akiitwa Limonga Justine Limonga na kuna huyu mama Abuu wa majani mapana.Kuna jamaa aliitwa Fikiri Dario Gakala wa GGM Geita na Filbert Kyenshambi kutoka Muleba-Nshambi, wapo wengi sn na tulikuwa tunaenjoy sn Enzi hizo
Unawakumbuka baadhi? Unazikumbuka kauli mbiu zao maarufu zilizotamba?