Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebubujikwa na machozi ya furaha yaliyochanganyika na huzuni 😂😂😂😂😂😂😂😂 hujalia sana??
Xr na Xmas ni hatari …halafu kwa muundo bomba kwakweli 5s na 8 plain zina kamvuto kwa wale wasiopenda simu kubwa!X ipi? Maana ziko shazi
Xs kabayaaa kwa upande wangu
Xr nzuri
X max baba lao
11 mm niliipenda.
13 inajitahidi mno kukaa na chaji 💥
Hakuna simu inaitwa android.Android ndiyo zinakaa mfukoni
I phone inashikw mkononi
Unaweza kutumia tecno, sema kipato na hobby vinaruhusu utumie iPhone. Hakuna asiyeweza kutumia tecno mkuu, usijitoe ufahamu.Na ujinga pia
Japo siwezi kutumia tekno
Shida inaanzia kwa wanaume watumiaji , wengi kuna tatizo mahali.. Mwaka jana nilinunua I phone ya macho matatu aisee simu haikunipa amani kabisa japo nzuri mno ila kila mtu ananiangalia ,baada ya miezi miwili nikaiuza , nilichogundua preference za mtu zinaendana na tabia kwenye nguo mpaka kwenye simu.Mimi binafsi si mpenzi wa iphone kabisa ni mpenzi wa samsung ila hii ya kusema kwamba wanaotumia iphone ni mashoga sijui wadangaji sioni kama imekaa sawa, mambo ya kusema kuna vitu kama simu au magari vya kiume na vya kike ni dalili ya kuwa na stress na roho za kimasikini, hao watengenezaji wenyewe sidhani kama huwa wanasema kwamba hizi wanatengenezea jinsia fulani au fulani
Defence mechanism!!!😆😆😆
Defensive mechanism iliyotumika hapa inatungua hata drones za Iran
Basi sawa.Sasa wewe umesema sasa.
Iko hivi kuna vitu ukitaka kutumia, mapambano yako yanaproject whhat you will get. Ni sawa siijui lakini kama umewahi, ukiwa na mpango wakumiliki nchi 60+ TV leo unaweza ukawa huna hela. Ila projections zako makusanyo yako yanakufanya uipate.
Jiulize watu wa kubeti wanatumia kiasi gani kwa mwaka, unashindwaje kumiliki simu ya 3,5ml Kama mpambanaji mwenye mipango, watu wanamiliki ghetto, pikipiki, sijui Saa, sii kwakipato cha stable money, but movement money.
Mimi nina 15 plus, Na nilikua nazo mbili. Nilivozipata ni mapambano ya kila siiku. Leo wakitoa toleo jingine la juu, lazma niwe nalo, ina a month or two. Kwasbabu tayari nipo kwenye series.
Kwahiyo hata hao mabinti hawadangi, wanajikusanya. Utiwe upewe iphone wewe nani. Labda utiwe kila siku. Ambapo hata malaya wengine wanavi 7 plus tu au Samsung.
Mkuu nadhani umenielewa vbyUnaweza kutumia tecno, sema kipato na hobby vinaruhusu utumie iPhone. Hakuna asiyeweza kutumia tecno mkuu, usijitoe ufahamu.
MUnaweza kutumia tecno, sema kipato na hobby vinaruhusu utumie iPhone. Hakuna asiyeweza kutumia tecno mkuu, usijitoe ufahamu.
Trust me, hata kama docs zako zipo icloud, unaweza kutumia simu nyingine yoyote anytime na hasa ikikulazimu. Hayo unayosema ni vile you have the luxury to choose, elewa maneno luxury to choose.Mkuu nadhani umenielewa vby
Naposem siwezi kutumia tcn haimaanish tecn n sim mbaya
Kwani hakun tekn zinazouzwa hela nying kushinda simu ninayoimiliki?
Hiyo ni fikra yako tu
Maana yang ipo kwenye kampuni na sio kipato
Ntakuambia kwanini
Document zang zote zipo kweny iCloud
Hivyo kwa vyovyote lazim nitumie apple coz natakiwa kivi fuatilia mal kwa mala.
M
Watumiaji wa android sijui wana matatizo gani kila siku wanajishtukia!! Nyuzi kibao za kuponda iphone utasema tumewalazimisha kutumia hizo simu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]