Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #141
Kwani kama Na uwezo wa kununua iPhone ni lazima ninunue iPhone???😃😃😃😃Bado hujaelezea wanaringia nini. Una uwezo wa kununua ila una nunua oppo? Are you serious bro? Natumia simu zote , zote zina pro na cons zake. Tafuta kinachoendana na wewe tumia acha malalamiko yasiyo na msingi