Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Mleta uzi mwenyewe anasema kuna mtu alimuona nayo akamuuliza kama hiyo ni iPhone alivyokuta siyo akaanza kumdharau. Ilimkasirisha sana 😢
Haha mambo yenu magumu, wacha nijiEnjoy zangu na EPL
 
Ngoja anielekeze kesho nikachukue Oppo inayofanana na IPhone . Pia watumiaji wa iPhone mna ka ushamba flan hivi kujifanya mnaangalia EPL wakati ligi ya bongo ipo
Chizi kweli 😂😂😂
Mababu zako j3 mpk j3 walikuwa wanakula ugali, mbona hujaiga wewe?
 
Chizi kweli 😂😂😂
Mababu zako j3 mpk j3 walikuwa wanakula ugali, mbona hujaiga wewe?
Sasa Mimi siyo mababu zangu Mimi ni Mimi .. kesho oppo nachukua tukutane kwenye uzi .. nikishachukua naanzisha na Uzi juu
 
Sasa Mimi siyo mababu zangu Mimi ni Mimi .. kesho oppo nachukua tukutane kwenye uzi .. nikishachukua naanzisha na Uzi juu
😂😂 yan simu mpya na uzi juu? Huo sasa ndio ushamba Bobdirlin
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom