Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Maisha ni kupanga na kuchagua.
Na ndio maana kuna mwingine kila mwisho wa mwezi ananunua jeans na t shirt, mwingine mpk asikie kuna Eid.. mwingine kila akipishana na duka lazima anunue ka kitu.
Depal Steve Jobs.
 
Yeye ndiye anadhani hivyo. Ni inferiority complex. Mtu anaweza kuwa anatumia Iphone yake bila hata kujua kama kuna mtu karibu, yeye anajishtukia. Matatizo ya umaskini haya.
Usilolijua ni Sawa Na usiku wa giza
 
😂😂 mpoje lakini
Anyway,, hata Vits ni toyota lkn huwezi kuilinganisha na premio
Point yetu iPhone zipo overrated, hafu watumiaji mnajiona mmetusua. Ukikaa nae mezani anafunika simu mezani macho matatu yaonekane.

Kuna mtu alikua ananionaga nimeyapatia saba maisha. Siku nimekaa nae anacheki simu yangu straight akasema "nilijua macho matatu" kha.
 
Shida ni mtazamo wa maana ya simu.
Ila practically watu wa maisha ya kawaida wanaotumia iphone huwa wana kama ka "ushamba"flani hivi ka kujiona wana kitu unique and special na pengine ni kweli.
Ni ngumu kumjua Tajiri mwenye tecno au infinix ila ni rahisi mno kumjua maskini mwenye iphone
Exactly.......Ni Sawa Na Yule mtu aliekulia kwenye pesa Tangu utoto wake Na Yule aliyezipatia pesa ukubwani
 
Point yetu iPhone zipo overrated, hafu watumiaji mnajiona mmetusua. Ukikaa nae mezani anafunika simu mezani macho matatu yaonekane.

Kuna mtu alikua ananionaga nimeyapatia saba maisha. Siku nimekaa nae anacheki simu yangu straight akasema "nilijua macho matatu" kha.
Hahah
Sasa mnatuconclude wazee na hao watoto wa shule mnakosea.
Mimi siwezi funikia simu kioo kudadeki. Yan nichakaze kioo changu cha simu? Kisa?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
We level zingine. Ila majority ya hawa wanaotusumbua na iPhone za Makumbusho hatulali. Status zao picha wanapiga bafuni Cinemax watuoneshe simu
 
Ila sijawahi kumuona mtu wa Afon kaleta uzi anashambulia android.

Nyie wajomba wa android sijui mna nini?
Msichokijua, nyie ndio mnazi overrate. Sisi wengine tunaona tu ni simu kama zingine…. LAPTOP zenyewe zina brand kibaoooo,, ila kuna kundi wamejikita kwenye Lenovo, kuna kundi wao uwatoi kwa HP, mwingine anaona HP za wanafunzi yuko busy na Dell… mwingine ana MacBook..mwingine ana Acer nk

Thats life. Acheni pigo za kiwaki
 
My dear huenda wewe hutambii Ila wenzako Wana ulimbukeni kinoma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom