Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Nyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? What’s wrong hapa
 
Hili ndio jibu, kila mtu amiliki anachopenda na kwa uwezo wake. Kumuona mtumia iPhone mjanja na mtumia tecno mshamba ndio ushamba wenyewe huo.
Na ujinga pia
Japo siwezi kutumia tekno
 
tusipangiane maisha
Kila mtu ana vitu vyake anapenda
Simu yangu ya kwanza kutumia ni iPhone 3G
Nkaja 4
Nkaja 6
Nkaja 7
Now xr

Sina hizo showoss usema wewe
Mdogo mdogo.. Ikitoka iPhone 19 we unadaka iPhone 15 taratibu.
 
😆😆😆

Defensive mechanism iliyotumika hapa inatungua hata drones za Iran
😂😂😂😂😂 isee , kwamba hii energy ikiwa converted inaweza kutungua drone 😂😂😂. Kwa nini labda isitumike kwenye grid ya Taifa maana tuna shida ya umeme nchini
 
Mdogo mdogo.. Ikitoka iPhone 19 we unadaka iPhone 15 taratibu.
Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update system
Kinyume na hapo ntaitumia hadi mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom