Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update system
Kinyume na hapo ntaitumia hadi mwisho.
Mi Nina Pixel 4 tokea 2022 naishi fresh. Simu kitu cha kifala ukienda na trend.

Hivi unakumbuka iPhone X mwaka 2017 inatoka inauzwa mpya $1,150 GB 256.

Sahivi unapata kwa Tsh 350k.
 
Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update system
Kinyume na hapo ntaitumia hadi mwisho.
Maisha ni kupanga na kuchagua.
Na ndio maana kuna mwingine kila mwisho wa mwezi ananunua jeans na t shirt, mwingine mpk asikie kuna Eid.. mwingine kila akipishana na duka lazima anunue ka kitu.
 
😂😂😂😂😂 isee , kwamba hii energy ikiwa converted inaweza kutungua drone 😂😂😂. Kwa nini labda isitumike kwenye grid ya Taifa maana tuna shida ya umeme nchini
Hiyo ikiingizwa kwenye grid ya taifa umeme utafurika hadi tutawauzia nchi jirani 😆😆😆
 
Nyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? What’s wrong hapa
Shangaa wewe mkuu
 
Twende mbele turudi nyuma
XR ni bonge moja la simu… katika cm nilizotumia, nilivutiwa na Xr, na 11 plain…
Ahsante sana d wangu
Lipo hapa tambo jeupe pe😂😂

Etinlitakakusemajeupekamamapajayako😂
 
Maisha ni kupanga na kuchagua.
Na ndio maana kuna mwingine kila mwisho wa mwezi ananunua jeans na t shirt, mwingine mpk asikie kuna Eid.. mwingine kila akipishana na duka lazima anunue ka kitu.
💯
 
Mi Nina Pixel 4 tokea 2022 naishi fresh. Simu kitu cha kifala ukienda na trend.

Hivi unakumbuka iPhone X mwaka 2017 inatoka inauzwa mpya $1,150 GB 256.

Sahivi unapata kwa Tsh 350k.
Hadi ije izingue hi 15 itakua chini
 
Nyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? What’s wrong hapa
Tunashangazwa Na ulimbukeni was Hawa watu Na Ile kuona simu zao ndo Bora kuliko zingine....Kuna mmoja alioniona nayo ni mwanaume akaniuliza simu yako iPhone nkamwambia hapana akaanza kujisifia Na kuniprove kwamba simu yake iPhone Ni better Zaidi nlimshangaa sana
 
Mimi simu yangu ni Iphone. Ile Iphone ya kwanza tu ndiyo sikutumia kwa sababu kabla ya hapo nilikuwa natumia Nokia. . Nilishajaribu Samsung sikufurahishwa nazo. Huwa nanunua kila baada ya matoleo mawili. Sasa nina Iphone 14 hivyo Inshaalah nasubiri 16.
Naheshimu choice yako

Ila mimi Samsung any day any time
 
Shida ni mtazamo wa maana ya simu.
Ila practically watu wa maisha ya kawaida wanaotumia iphone huwa wana kama ka "ushamba"flani hivi ka kujiona wana kitu unique and special na pengine ni kweli.
Ni ngumu kumjua Tajiri mwenye tecno au infinix ila ni rahisi mno kumjua maskini mwenye iphone
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom