hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄Oppo natumia Oppo Reno 8 5G pro ninayo tangu 2022
Tena note seriesSimu ya kiume ni Samsung
Sasa jamani mamaa kwani wewe ni mwanaume? Me nimesema mwanaume,sijasema mwanamkeKwendeni zenu huko
Wabongo sijui tuna matatizo gani
Watumiaji wa android sijui wana matatizo gani kila siku wanajishtukia!! Nyuzi kibao za kuponda iphone utasema tumewalazimisha kutumia hizo simu zao 😂😂😂😂Kila mtu ashinde mechi zake..
Ulikuwa unaenda vzr ila umeharibu hapa Nyau wewe!!vigari kama DUALIS na IST
Kwanini uvimbe? Huko kuvimba ndiyo ushamba wenyeweMwanaume anavimbia
Note series ilishaishia 2020 now ni S seriesTena note series
😂😂😂😂😂😂Android ndiyo zinakaa mfukoni
I phone inashikw mkononi
Naona kama 11 plain sio nzuri kama zingine au kama xTwende mbele turudi nyuma
XR ni bonge moja la simu… katika cm nilizotumia, nilivutiwa na Xr, na 11 plain…
X ipi? Maana ziko shaziNaona kama 11 plain sio nzuri kama zingine au kama x
Tena 11 plain 🤣Uliipenda ilitaka kufanana na iphonoooo😂😂😂😂😂😂😂
Ili apate hela labda alete oppo inayofanana kidogo na iphone halafu na hati ya kiwanja ndio atapata msaada(jokes) 😂😂😂😂😂😂. Kwakweli nimebubujikwa na machoziUkitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
😂😂😂 hujalia sana??Ili apate hela labda alete oppo inayofanana kidogo na iphone halafu na hati ya kiwanja ndio atapata msaada(jokes) 😂😂😂😂😂😂. Kwakweli nimebubujikwa na machozi