Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
iPhone sijui iliwakosea nini wasioipenda?
Kwamba uwezo wa kununua unao ila …….
Picha ya Oppo ni nzuri kuliko ya iPhone na google pixel asemeje?

Kitu hujui ni kuwa brand kubwa ni brand kubwa hata uikosoe vp haiipunguzii cho chote
Hata mimi natambua simu zingine zina ubora mzuri ila sasa hadi kuja kuishusha hiyo brand sio leo!

Hii ligi ya iPhone na kampuni zingine sijui itaisha lini?
Ushamba upo tu siku zote na kitu ukishakizoe ushamba utaisha ni uwezo tu kwa wengine haupo ila  wengi sana wanaipenda asiyeipenda ni ambaye alishaachana nayo akaamua kurudi kwenye android.
 
Oppo natumia Oppo Reno 8 5G pro ninayo tangu 2022
🙄
Asee una uwezo wa kununua iphone 13/14/15 alafu unachukua OPPO Reno 8 pro yenye chipset ya mediatek? kama kina infinix.

Uwezo wa simu unaanzia kwenye chipset then vinginevyo kama ram,storage, camera na network vinafuata, Uwe unafuatilia specifications za simu kabla hujanunua.

Ila kama ni average user na Kweli unajiweza kiuchumi basi chukua iphone latest model au ya miaka 2/3 nyuma maana ni package yenye kila kitu na hutojutia.
 
Kila mtu ashinde mechi zake..
Watumiaji wa android sijui wana matatizo gani kila siku wanajishtukia!! Nyuzi kibao za kuponda iphone utasema tumewalazimisha kutumia hizo simu zao 😂😂😂😂
 
Kuna video moja niliwahi iona sehemu, huyo mzungu ni shoga, wakati ana hojiwa akasema " A GAY WITHOUT AN IPHONE IS NOT A GAY. "
 
Xiaomi Redmi 14 ndiyo simu ya ndoto yangu.
Sina hela tuu ila kama ningekuwa na hela ninge inunua.
I reall love that smartphone.
 
Twende mbele turudi nyuma
XR ni bonge moja la simu… katika cm nilizotumia, nilivutiwa na Xr, na 11 plain…
Naona kama 11 plain sio nzuri kama zingine au kama x
 
Naona kama 11 plain sio nzuri kama zingine au kama x
X ipi? Maana ziko shazi
Xs kabayaaa kwa upande wangu
Xr nzuri
X max baba lao

11 mm niliipenda.
13 inajitahidi mno kukaa na chaji 💥
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
Ili apate hela labda alete oppo inayofanana kidogo na iphone halafu na hati ya kiwanja ndio atapata msaada(jokes) 😂😂😂😂😂😂. Kwakweli nimebubujikwa na machozi
 
Ili apate hela labda alete oppo inayofanana kidogo na iphone halafu na hati ya kiwanja ndio atapata msaada(jokes) 😂😂😂😂😂😂. Kwakweli nimebubujikwa na machozi
😂😂😂 hujalia sana??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom