Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
X ipi? Maana ziko shazi
Xs kabayaaa kwa upande wangu
Xr nzuri
X max baba lao

11 mm niliipenda.
13 inajitahidi mno kukaa na chaji πŸ’₯
Xr na Xmas ni hatari …halafu kwa muundo bomba kwakweli 5s na 8 plain zina kamvuto kwa wale wasiopenda simu kubwa!

Ila ukweli ni kwamba matoleo uliyoyataja hapo bila kusahau hata 5s hakuna sehemu Oppo anatamba…Oppo akatambe pande za tecno ukoooooooπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmeanza tena πŸ˜‚ Hizi kelele huwa zinazidi Apple wakikaribia kutoa simu mpya, mbona mapema sana.

Binafsi kuacha kutumia Iphone labda kiwanda kifungwe, I said what i said! πŸ˜‚
 
Kila mtu aishi kwa uwezo wake kama unaweza kununua cm ya mamilioni nunua tu hakuna atakae kupangia.
 
Shida inaanzia kwa wanaume watumiaji , wengi kuna tatizo mahali.. Mwaka jana nilinunua I phone ya macho matatu aisee simu haikunipa amani kabisa japo nzuri mno ila kila mtu ananiangalia ,baada ya miezi miwili nikaiuza , nilichogundua preference za mtu zinaendana na tabia kwenye nguo mpaka kwenye simu.
 
Basi sawa.
 
Kila mtu na anachokipenda,Mimi I phone hainishawishi kabisa,ila kuna simu inaitwa One Plus 9 Pro 5G naikubali balaa soon naichukua ndiyo simu ya ndoto zangu
 
Unaweza kutumia tecno, sema kipato na hobby vinaruhusu utumie iPhone. Hakuna asiyeweza kutumia tecno mkuu, usijitoe ufahamu.
Mkuu nadhani umenielewa vby
Naposem siwezi kutumia tcn haimaanish tecn n sim mbaya
Kwani hakun tekn zinazouzwa hela nying kushinda simu ninayoimiliki?
Hiyo ni fikra yako tu
Maana yang ipo kwenye kampuni na sio kipato

Ntakuambia kwanini
Document zang zote zipo kweny iCloud
Hivyo kwa vyovyote lazim nitumie apple coz natakiwa kivi fuatilia mal kwa mala.
Unaweza kutumia tecno, sema kipato na hobby vinaruhusu utumie iPhone. Hakuna asiyeweza kutumia tecno mkuu, usijitoe ufahamu.
M
 
Trust me, hata kama docs zako zipo icloud, unaweza kutumia simu nyingine yoyote anytime na hasa ikikulazimu. Hayo unayosema ni vile you have the luxury to choose, elewa maneno luxury to choose.
 
Watumiaji wa android sijui wana matatizo gani kila siku wanajishtukia!! Nyuzi kibao za kuponda iphone utasema tumewalazimisha kutumia hizo simu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na huwezi Ona mtu wa iPhone akipondea simu zao ila wao wanavyojishtukia sasaa. Afu mbona iPhone bei rahisi tu jamani zimekua si wajipatie zao na wao wapunguze makasiriko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…