Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Niliona hiyo comment kwenye uzi fulani mwamba ansema masaibaba yameanza kuangushwa chini nilicheka sana π π πHizo drones za Iran kuna mwamba kaziita Saibabaπ€£π€£ yaani watu wana maneno sio poa!
Kolo + iPhone mnajiona mmetusuaMakasiriko
Hili ndio jibu, kila mtu amiliki anachopenda na kwa uwezo wake. Kumuona mtumia iPhone mjanja na mtumia tecno mshamba ndio ushamba wenyewe huo.Miliki unachokipenda
Na ujinga piaHili ndio jibu, kila mtu amiliki anachopenda na kwa uwezo wake. Kumuona mtumia iPhone mjanja na mtumia tecno mshamba ndio ushamba wenyewe huo.
Nilikuwa naisuburia hii comment πNi simu za kike same as vigari kama DUALIS na IST ..etc
Una iPhone?Mpambano ni mkali sana, ngoja tuone unafika wapi.
Yeye ndiye anadhani hivyo. Ni inferiority complex. Mtu anaweza kuwa anatumia Iphone yake bila hata kujua kama kuna mtu karibu, yeye anajishtukia. Matatizo ya umaskini haya.πππ
Defensive mechanism iliyotumika hapa inatungua hata drones za Iran
Wewe unatumia brand gani?Yeye ndiye anadhani hivyo. Ni inferiority complex. Mtu anaweza kuwa anatumia Iphone yake bila hata kujua kama kuna mtu karibu, yeye anajishtukia. Matatizo ya umaskini haya.
Wakiwa na maokoto hawataangaika kusema hiki wala kile, hayo yote ni sababu ya umasikini.Kwamba?ππ
Mdogo mdogo.. Ikitoka iPhone 19 we unadaka iPhone 15 taratibu.tusipangiane maisha
Kila mtu ana vitu vyake anapenda
Simu yangu ya kwanza kutumia ni iPhone 3G
Nkaja 4
Nkaja 6
Nkaja 7
Now xr
Sina hizo showoss usema wewe
SahihiWakiwa na maokoto hawataangaika kusema hiki wala kile, hayo yote ni sababu ya umasikini.
Watafute maokoto.
πππππ isee , kwamba hii energy ikiwa converted inaweza kutungua drone πππ. Kwa nini labda isitumike kwenye grid ya Taifa maana tuna shida ya umeme nchiniπππ
Defensive mechanism iliyotumika hapa inatungua hata drones za Iran
Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update systemMdogo mdogo.. Ikitoka iPhone 19 we unadaka iPhone 15 taratibu.