Mi Nina Pixel 4 tokea 2022 naishi fresh. Simu kitu cha kifala ukienda na trend.Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update system
Kinyume na hapo ntaitumia hadi mwisho.
Maisha ni kupanga na kuchagua.Na mbay zaidi nkianz tumia sim hadi ifie mkonon au nishindwe tumia apps furan kutokana na kushindwa ku update system
Kinyume na hapo ntaitumia hadi mwisho.
Mimi simu yangu ni Iphone. Ile Iphone ya kwanza tu ndiyo sikutumia kwa sababu kabla ya hapo nilikuwa natumia Nokia. . Nilishajaribu Samsung sikufurahishwa nazo. Huwa nanunua kila baada ya matoleo mawili. Sasa nina Iphone 14 hivyo Inshaalah nasubiri 16.Wewe unatumia brand gani?
Twende mbele turudi nyumatusipangiane maisha
Kila mtu ana vitu vyake anapenda
Simu yangu ya kwanza kutumia ni iPhone 3G
Nkaja 4
Nkaja 6
Nkaja 7
Now xr
Sina hizo showoss usema wewe
Hiyo ikiingizwa kwenye grid ya taifa umeme utafurika hadi tutawauzia nchi jirani 😆😆😆😂😂😂😂😂 isee , kwamba hii energy ikiwa converted inaweza kutungua drone 😂😂😂. Kwa nini labda isitumike kwenye grid ya Taifa maana tuna shida ya umeme nchini
Kwendeni zenu hukoNikimwona mwanaume ameshika iPhone sijui namwonaje?
Shangaa wewe mkuuNyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? What’s wrong hapa
Ahsante sana d wanguTwende mbele turudi nyuma
XR ni bonge moja la simu… katika cm nilizotumia, nilivutiwa na Xr, na 11 plain…
💯Maisha ni kupanga na kuchagua.
Na ndio maana kuna mwingine kila mwisho wa mwezi ananunua jeans na t shirt, mwingine mpk asikie kuna Eid.. mwingine kila akipishana na duka lazima anunue ka kitu.
Hadi ije izingue hi 15 itakua chiniMi Nina Pixel 4 tokea 2022 naishi fresh. Simu kitu cha kifala ukienda na trend.
Hivi unakumbuka iPhone X mwaka 2017 inatoka inauzwa mpya $1,150 GB 256.
Sahivi unapata kwa Tsh 350k.
Hapana mkuu, mimi nina ki samsung sijui ni cha china au VietnamUna iPhone?
Tunashangazwa Na ulimbukeni was Hawa watu Na Ile kuona simu zao ndo Bora kuliko zingine....Kuna mmoja alioniona nayo ni mwanaume akaniuliza simu yako iPhone nkamwambia hapana akaanza kujisifia Na kuniprove kwamba simu yake iPhone Ni better Zaidi nlimshangaa sanaNyuzi za kuziponda iPhone ni nyingi humu, Nyuzi za kujilinganisha na iPhone ni nyingi pia . Ni kweli apple wana tatizo au ni inferiority complex (Kujistukia) au shida ni nini ? Pia Kwa nini mtu usiridhike tu na simu /brand unayotumia yaan ukawa comfortable kabisa ukaachana na kuchungulia simu za wenzio ? What’s wrong hapa
Naheshimu choice yakoMimi simu yangu ni Iphone. Ile Iphone ya kwanza tu ndiyo sikutumia kwa sababu kabla ya hapo nilikuwa natumia Nokia. . Nilishajaribu Samsung sikufurahishwa nazo. Huwa nanunua kila baada ya matoleo mawili. Sasa nina Iphone 14 hivyo Inshaalah nasubiri 16.
Kikubwa unapiga na kupokea, na mtandaoni unaingia. Basi. Trend tuwaachie hawa vijana.Hapana mkuu, mimi nina ki samsung sijui ni cha china au Vietnam
😂😂 ni vile tu siwezi kurudi nyuma, ila naikubali Xr.Ahsante sana d wangu
Lipo hapa tambo jeupe pe😂😂
Etinlitakakusemajeupekamamapajayako😂
Ulimbukeni mwingine Ni Huu kuona watu ambao hawatumii iPhone Ni maskini au hawana uwezo wa kuzinunuaKawaida ya masikini ni maneno mengi!