Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
tusipangiane maisha
Kila mtu ana vitu vyake anapenda
Simu yangu ya kwanza kutumia ni iPhone 3G
Nkaja 4
Nkaja 6
Nkaja 7
Now xr

Sina hizo showoss usema wewe
 
Mwanaume anayevimbia vitu kama simu, magari ya kutembelea, nyumba za kuishi,kuvaa huyo ana akili za kivulana ama za kike. Mwanaume anavimbia investments na kama huna investments kaa kwa kutulia ujitafute.
Waambie hai
 
Mimi binafsi si mpenzi wa iphone kabisa ni mpenzi samsung ila hii ya kusema kwamba wanaotumia iphone ni mashoga sijui wadangaji sioni kama imekaa sawa, mambo ya kusema kuna vitu kama simu au magari vya kiume na vya kike ni dalili ya kuwa na stress na roho za kimasikini, hao watengenezaji wenyewe sidhani kama huwa wanasema kwamba hizi wanatengenezea jinsia fulani au fulani
Mkuu hujaelewa
 
Mwanaume anayevimbia vitu kama simu, magari ya kutembelea, nyumba za kuishi,kuvaa huyo ana akili za kivulana ama za kike. Mwanaume anavimbia investments na kama huna investments kaa kwa kutulia ujitafute.
Duuh
 
Usiishi ukijali kuhusu simu anayitumia mtu mwengine na kuhusu watu wengine wanafikiria nini kuhusu simu yako, hakikisha na marafiki zako pia wanafanana na wewe hiyo tabia.
 
Nakubaliana na hoja yako.

Cha ajabu wanawake wenye Iphone hawana hata kazi wala biashara....sijui wanazipataje hapa mjini.

Au kuna sehemu wanagawa bure?

Back
Top Bottom