Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

sina hela we jamaa
Apple declares the iPhone X and original AirPods 'vintage'—and they're on the road to 'obsolete' If you own one of these Apple devices, it will soon be more difficult to get repairs. One of the most iconic iPhone models is entering a new phase of life as Apple takes another step toward sunsetting it forever.

Soon itakuwa kama Oppo zinazouzwa laki laki.
 
Nipo na Oppo mwaka wa tatu huu.
Screenshot_2024-09-10-21-55-33-74_fc704e6b13c4fb26bf5e411f75da84f2.jpg

Ulinunua wapi na bei gani mtaalam?
Waone mafundi kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Apple declares the iPhone X and original AirPods 'vintage'—and they're on the road to 'obsolete' If you own one of these Apple devices, it will soon be more difficult to get repairs. One of the most iconic iPhone models is entering a new phase of life as Apple takes another step toward sunsetting it forever.

Soon itakuwa kama Oppo zinazouzwa laki laki.

Na hapa ndio umezidi kupigilia msumari kwa simu zetu. Nnachokisema ni kwamba, wengi wetu matumizi ya simu ni kuwasiliana (kupiga, kupokea, text, Whatsapp calculator na mambo ya picha) hivi ni vitu simu nyingi za kawaida zinafanya bila tatizo ukiachilia mbali wale wenye matumizi maalum.

Sasa, hilo kundi wanaohitaji hizo simu za kawaida kupata shida Kila simu maarufu zinapotoa matoleo mapya ni shida.

Fanya hivyo Kwa kuwa inabidi Kwa kazi zako au unamudu kupata bila kuathiri mambo mengine Kwa sababu, hizi simu za kawaida zinaweza kukidhi mahitaji ya wengi.
 
Shukrani kiongozi, bora wewe umenitia moyo.

Matajiri wa JF wanatuonea sana na simu zetu jamii ya Techno. Lakini sie watumiaji watiifu wala hatuna shida nazo.
Hahaha, Nina Infinix hot 8 natumia toka 2021.

Iko poa Sana, maana zaidi ya kupiga, kuchati na YouTube Sina kazi nayo muhimu.

Ndugu yangu mmoja ana iphone 12 aisee, ali lipia namuona.

Uliza anacho fanyia, uta cheka sana
 
Back
Top Bottom