The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Dalili za ukosefu wa fedha mifukoni huo. Cheza na Iphone 16 pro max nini? Ukiwa nayo hata njaa husikii.
Uko sawa mkuu, siwezi kujua unaongelea fedha/ Pesa kiasi gani ila kitu kimoja Sina shaka nacho, uwezo wa kununua Iphone toleo lolote nnao. Achilia mbali kununua, napewa ofisini kama kitendea kazi. Lakini Sina upepo nazo na sio kipaumbele changu.
Kama ukiwa nayo dhiki ndogo ndogo unaachana nazo sio tatizo. Zingatia kwenye post yangu nimesisitiza, wengi wetu matumizi ya simu ni ya kawaida sana, hayahitaji kuathiriwa na matoleo ya simu mpya.