Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Mkuu tecno spark 8c tu ni bora kuliko iphone x mkuu
Kinachowasumbua wengi ni mkumbo, Yuko radhi apigwe Kwa Iphone fake wakati angeweza kupata simu nzuri tu aina nyingine.

Naelewa Kuna mambo ya status sawa, lakini pia ntafanya hivyo kama nafasi inaruhusu na Kuna ulazima, lakini sio Kwa ajili ya status kufurahisha watu.


Ujue hakuna simu chakavu au brand itakataa kupokea muamala...au iphone zinakuja na Salio la Mpesa? ( Joke)
 
Na hapa ndio umezidi kupigilia msumari kwa simu zetu. Nnachokisema ni kwamba, wengi wetu matumizi ya simu ni kuwasiliana ( kupiga, kupokea, text, Whatsapp calculator na mambo ya picha) hivi ni vitu simu nyingi za kawaida zinafanya bila tatizo ukiachilia mbali wale wenye matumizi maalum.

Sasa, hilo kundi wanaohitaji hizo simu za kawaida kupata shida Kila simu maarufu zinapotoa matoleo mapya ni shida.

Fanya hivyo Kwa kuwa inabidi Kwa kazi zako au unamudu kupata bila kuathiri mambo mengine Kwa sababu, hizi simu za kawaida zinaweza kukidhi mahitaji ya wengi.
Dalili za ukosefu wa fedha mifukoni huo. Cheza na Iphone 16 pro max nini? Ukiwa nayo hata njaa husikii.
 
Wasikudanganye. Iphone X bado ipo kwenye chart na inatumia mpaka ios 18, ambayo ni mpya kabisa kwa Iphone. Hiyo yako itakuwa na matatizo mengine tu, labda ni fake au mbovu.
Labda kama Mango iphone x sio apple
 
Mimi sio mtaalam sana wa iphone lkn nipo na iphone 7plus nimesahau email niliyoisajili na icloud na nonaitaji kunitumia nifanyeje ili ifunguke msaada jmn😂

Pole sana Mkuu, hapa Kuna wataalam watakusaidia bila shaka.

Hapa ninavyoandika, sijawahi kabisa na sifikirii kutumia Iphone siku za karibuni, siwezi kuwa na msaada sana kiongozi.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom