Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Mimi sio mtaalam sana wa iphone lkn nipo na iphone 7plus nimesahau email niliyoisajili na icloud na nonaitaji kunitumia nifanyeje ili ifunguke msaada

Mimi sio mtaalam sana wa iphone lkn nipo na iphone 7plus nimesahau email niliyoisajili na icloud na nonaitaji kunitumia nifanyeje ili ifunguke msaada jmn😂
inafanyiwa Bipass
 
Shukrani kiongozi, bora wewe umenitia moyo.

Matajiri wa JF wanatuonea sana na simu zetu jamii ya Techno. Lakini sie watumiaji watiifu wala hatuna shida nazo.
Mimi hii Infinix hot11 play ni mwaka wa 4 pia inaenda! Mwaka Jana nikasema ninunue Google pixel nikanunua imekuja kupasuka screen naenda Kwa fundi naambiwa 270-290k

Ipo nimeitunza nasubiria ipone Kwa miujiza Sina mengi na siwezi toa Hela yote hiyo Wakati Infinix yangu kesi za kioo ni 50k tu na nishabadiri mara Moja tu
 
Hii ni tekno iliyochangamka.
Zote kundi letu Moja kuanzia Techno, Infinix, Itel, Xiaomi, Oppo yaani sote tumewekwa kundi letu na kubandikwa tabaka la chini kabisa isipokua Iphone na Samsung.
 
Back
Top Bottom