Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

Mkuu tecno spark 8c tu ni bora kuliko iphone x mkuu
Kinachowasumbua wengi ni mkumbo, Yuko radhi apigwe Kwa Iphone fake wakati angeweza kupata simu nzuri tu aina nyingine.

Naelewa Kuna mambo ya status sawa, lakini pia ntafanya hivyo kama nafasi inaruhusu na Kuna ulazima, lakini sio Kwa ajili ya status kufurahisha watu.


Ujue hakuna simu chakavu au brand itakataa kupokea muamala...au iphone zinakuja na Salio la Mpesa? ( Joke)
 
Dalili za ukosefu wa fedha mifukoni huo. Cheza na Iphone 16 pro max nini? Ukiwa nayo hata njaa husikii.
 
Wasikudanganye. Iphone X bado ipo kwenye chart na inatumia mpaka ios 18, ambayo ni mpya kabisa kwa Iphone. Hiyo yako itakuwa na matatizo mengine tu, labda ni fake au mbovu.
Labda kama Mango iphone x sio apple
 
Mimi sio mtaalam sana wa iphone lkn nipo na iphone 7plus nimesahau email niliyoisajili na icloud na nonaitaji kunitumia nifanyeje ili ifunguke msaada jmnπŸ˜‚

Pole sana Mkuu, hapa Kuna wataalam watakusaidia bila shaka.

Hapa ninavyoandika, sijawahi kabisa na sifikirii kutumia Iphone siku za karibuni, siwezi kuwa na msaada sana kiongozi.

Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…