Dalili za ukosefu wa fedha mifukoni huo. Cheza na Iphone 16 pro max nini? Ukiwa nayo hata njaa husikii.
Mbona tangu zitoke hazijafikisha hiyo miaka Mkuu?
mbona kama hasira๐Sasa una
unamwambia nani?? ๐๐๐
We si unapenda kutumia iphone bwanaa sawa
Mlinganisho wa ubovu๐
Kumaanisha ubora wa tecno ndio ugonjwa wa iphone x yake
siwezi kuwa na hasira bwana iPhone usermbona kama hasira๐
Miaka inatembea Mkuu, mm mwenye huwa inafika stage naona 2019 ni kama ilikua juzi, ila ndo hivyo miaka inasepa kama upepo.Uko sahihi, niliinunua 2021 nafikiri ndio zilikua zinaingia sokoni ( kitu kama 1.2M).
Uzee ndugu yangu, mambo mengi na sijui kwanini mara nyingi akilini hua imejiweka niliinunua 2020.
Shukrani Kwa kuweka kumbukumbu sawa.
View attachment 3092809
Sent from my iphone 6s ๐ฎโ๐จ๐ฎโ๐จApple declares the iPhone X and original AirPods 'vintage'โand they're on the road to 'obsolete' If you own one of these Apple devices, it will soon be more difficult to get repairs. One of the most iconic iPhone models is entering a new phase of life as Apple takes another step toward sunsetting it forever.
Soon itakuwa kama Oppo zinazouzwa laki laki.
Daah aiseee ๐๐จIloweke katika maji itakuwa powa one hour
NjemaaShukrani sana mkuu
Za siku nyingi?
Hadi sasa oppo anaongoza kwa point,, tuendelee ๐๐Naona kumeanza kuchangamka๐ iPhone x Vs Oppo
Watu kumi wapo hapa.
Hapana mzee walisema Tanzania, hajawahi leta simu wala hawana wakalaiPhone walisemaga hawana store Africa mkuu au nilisikia vibaya hiyo uliinunua wapi?
Itakuwa fake hiyo! Iphone og haiwezi stuck hata siku mojaWakuu
nipeni msaada
Hiyo imevuka hata u vintage, hiyo ni fossil, beyond obsolete๐๐๐. Itengenezee frame utunduke ukutani.Sent from my iphone 6s ๐ฎโ๐จ๐ฎโ๐จ
Pamoja.Hali kadhalika ilikua ni suala la viwango nilipoitaja Oppo Mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wenzio wapo 16 wewe bado unang'ang'ana na X.
Hiyo ni tecno iliyochangamka tu.
Aisee we Jamaa una faa kuwa marketing manager wa mtoa rohoKaribu infinix ukichaji leo utachaji tena baada ya kupata mjukuu.
Ile ilikuwa ni kijembe cha kufurahisha darsa tu, usichukulie serious. Mimi siyo muumini wa show-off hata kidogo.Uko sawa mkuu, siwezi kujua unaongelea fedha/ Pesa kiasi gani ila kitu kimoja Sina shaka nacho, uwezo wa kununua Iphone toleo lolote nnao. Achilia mbali kununua, napewa ofisini kama kitendea kazi. Lakini Sina upepo nazo na sio kipaumbele changu.
Kama ukiwa nayo dhiki ndogo ndogo unaachana nazo sio tatizo. Zingatia kwenye post yangu nimesisitiza, wengi wetu matumizi ya simu ni ya kawaida sana, hayahitaji kuathiriwa na matoleo ya simu mpya.
Tuko Pamoja mtaalam, hapa JF ni pa kutoa stress tu na kupata burudani. Hata hivyo bado naitafuta pesa ndugu yangu, ni kweli uhaba upo. Kijembe kimenichangamsha pia.Ile ilikuwa ni kijembe cha kufurahisha darsa tu, usichukulie serious. Mimi siyo muumini wa show-off hata kidogo.