Big up Chief-Mkwawa. You're very helpful. Utafanikiwa kwenye biashara zako. Hivi ndivyo mteja anatakiwa kuwa handled.Itafaa mkuu, sema kuna mitandao hutapata top speed. Na router kama hio si kwa ajili ya 4g tu ina matumizi mengi sana ikiwemo kuunganisha vifaaa vyote nyumbani.
Siuzi mimi mkuu, anazunguka mwenyewe madukani anaulizia.Big up Chief-Mkwawa. You're very helpful. Utafanikiwa kwenye biashara zako. Hivi ndivyo mteja anatakiwa kuwa handled.
Najua. Nazungumza kuhusu biashara zako mwenyewe. Unamjali mteja.Siuzi mimi mkuu, anazunguka mwenyewe madukani anaulizia.
Nilichoka kuzunguka mkuu,na katika zunguka yangu yote maduka yote nakutanaItafaa mkuu, sema kuna mitandao hutapata top speed. Na router kama hio si kwa ajili ya 4g tu ina matumizi mengi sana ikiwemo kuunganisha vifaaa vyote nyumbani.
sana sana sana Nilikua nimuweke u Platinum Member leo ilaBig up Chief-Mkwawa. You're very helpful. Utafanikiwa kwenye biashara zako. Hivi ndivyo mteja anatakiwa kuwa handled.
Mkuu hakika umeshukuru kutoka moyoni.sana sana sana Nilikua nimuweke u Platinum Member leo ila
kuangalia akaunti yake nikakuta Max na team yake walishampa
muda sana,sikuwahi angalia hilo kbsa,ni leo nimeangalia baada
ya kujiuliza nimpe zawadi gani huyu mtu ila bahati nzuri JamiiForums
ilitambua umuhimu wake na kumpa,nimeishia kumshukuru tu kwani
sina namna nyingine tena ya kuweza mshukuru mtu wa namna hii,He is the Best.
Leo nikiwa town nilimkumbuka sana nikawa natamani ningekua na namba yake
ila baadae nikapata wazo la kuja JF na huwezi amini sikutegemea kama angejibu
muda ule ule niliokua nataka,nilikua naandka comment huku naomba kimoyo moyo
Chief-Mkwawa popote alipo aingie JF aione,na kweli aliingia na leo kupitia
mawazo yake nimepata kile nilichokihitaji,Asante sana chief Ubarikiwe uingiapo na Utokapo.
Mkuu hakika umeshukuru kutoka moyoni.
Watu wazuri bado wapo duniani mzee,
Mimi pia nimshukuru chief kupitia nyuzi na comments zake najifunza vitu vingi nisiwe mwongo.Hii ni elimu na anaitoa bure bila kujali hasara ya mda wake kupotea.
Big up Chief mkwawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hows 10 mbps? Ni sawa na speed ya Smile? Wao wananipa 27 mbps.Mi natumia zuku mkuu, 10 mbps 69,000. Ila ipo mijini tu, na siku hizi wana offer uki renew kabla ya tarehe kuisha wana double speed inakuwa 20mbps.
Kama upo pembezoni vifurushi vya usiku ndio best bet tafuta simu nzuri yenye flagship soc hata kama ya zamani kidogo utapata speed nzuri ya 4g. Kwa halotel unaweza download hadi GB 100 kwa usiku mmoja.
mkuu hii ni true unlimited hata udownload terabyte hawapunguzi speed. smile ukitumia gb kadhaa wanashusha speed. hivyo mwanzoni smile itaonekana ina speed ila matumizi yakizidi zuku ni nzuri.
Nasoma comments tu mimi Controla
Kama upo maeneo ambayo ZUKU wanatoa huduma, Hamia sasa, anakidhi mahitaji.Hows 10 mbps? Ni sawa na speed ya Smile? Wao wananipa 27 mbps.
Wajaribu zukuNi katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia huduma za cable, FTA DISH, nk nk. Baada ya kusanuka nikaingia ulimwengu ule nilijishangaa sana kwa kuchelewa kujua vitu.
Sasa leo nimekuja kuulizia tena katika suala la internet. Wenzangu nyie mnatumia kampuni gani kurahisisha mambo, au mnatumia nini kupata Unlimited Data Flow yenye bei nafuu, na bado mkapata kile mlichokihitaji na huduma bora 24hrs?
Kwa upande wangu mimi nilikua mteja wa TTCL kwa muda sana ila baadaye huduma zao zikawa mbovu na takataka kabisa; nikaachana nao nikaamua kuwa mteja wa kampuni moja hivi ya Liquid Telecom ambayo nipo nayo mwaka wa pili huu; hadi hivi sasa sina tatizo nao ila tu kuna vitu nataka kufahamu zaidi kutoka kwa watumiaji wengine.
TTCL kabla sijawaacha kwenye mataa nilikua natumia kifurishi chao cha
Business Gold 3Mbps 126,000.00/=
Kwa hawa marafiki zangu Liquid wananipa tabasamu kila iitwapo leo, na kifurushi changu ni cha speed ile ile 3Mbps kinanitosha sana ambacho kwa hawa wao hawana 3Mbps, wao wameanzia
Wakaenda kwa speed tofauti to 8Mbps ambayo wao wanacharge 180 dollar. Basi hawa ndio Liquid ambao kwangu mimi sioni shida kutoka kwao zaidi tu ni burudani ila sitaki kujiona nina tabasaamu kumbe kuna wenzangu mpo mmeuchuna mahali mnakula tu vitu kama ilivyokua kwenye TV.
- 1mbpd, Dedicated Burst up to 5Mbps @ 75 dollar (hiki ndio kifurushi changu)
Hapa leo nimekuja nahitaji kujua kama kuna kampuni mnayoifahamu inayoizidi Liquid na wenye bei pungufu yao au kama kuna njia nyingine naweza itumia kupata internet unlimited sio kupimiwa halafu mseme ni unlimited kama walivyo Tigo, Voda na mitandao mingine wanaojitangaza wanatoa unlimited wakati ni limited packages.
Karibuni:
Ni kwa wale Heavy Users tu wa internet jamani na walio in this game not less than 2 years. Naombeni ushauri wenu/ushuhuda na vyovyote mnavyoweza nishauri maisha yakazidi kuwa mazuri na matamu zaidi.
Nawasilisha.
Mi natumia zuku mkuu, 10 mbps 69,000. Ila ipo mijini tu, na siku hizi wana offer uki renew kabla ya tarehe kuisha wana double speed inakuwa 20mbps.
Kama upo pembezoni vifurushi vya usiku ndio best bet tafuta simu nzuri yenye flagship soc hata kama ya zamani kidogo utapata speed nzuri ya 4g. Kwa halotel unaweza download hadi GB 100 kwa usiku mmoja.
Nilichoka kuzunguka mkuu,na katika zunguka yangu yote maduka yote nakutana
na router ambazo niliweza zitambua hazina uwezo bila hata kukuuliza,hizo ambazo
nimekuuliza ndio zilikua zinanichanganya na jinsi bei zake zinavyotofautiana kukawa
kunanipa wasi wasi,nikawa nakuuliza ila mwisho wa siku nimechukua hii DWR M960
nimekuja ijaribu kazini nione,kwakweli Haijaniangusha "sijutiii pesa niliyotoa" napata nilicho hitaji
nimedumbukiza line ya halotel,nataka nione usiku huko nyumbani maana hii ni ya HOME
nione hali itavyokua,ila mpk sasa speed yake si ya kawaida,niki connect WIFI ne simu
hamna page inayo load yani ni Tip Tap.Asante sana sana sana Chief-Mkwawa you deserve being
Platinum Member asante tena na tena kwani kama si wewe leo ningeondoka na router zile
za mwanzo nilizokuuliza maana ndio zimejaa kila duka nililokua naingia nlikutana na zile
baada ya kuniambia SIO ndio nikapata nguvu ya kutafuta na hatimae nikakutana na kaduka kamoja
kana hyo M960 uliponiambia Hii ipo sawa kasoro haina Advance LTE nikasema naibeba hvyo hvyo.
nisipokushukuru nitakua mchoyo wa fadhila,Asante chief na Mungu akubariki.
Ingia Google mkuu andika model hizo hapo juu then search picha zitakuja utaziona.Mkuu hebu tuwekee kapicha au tufafanulie na sisi tukatafute hizo router ambazo unaweza weka line yoyote ya simu. Mi natafuta kwa ajili ya home tu na matumizi yangu ni madogo. Nastream video mara chache sana. Matumizi makubwa ni kusurf, emails, MS offficr documents na hizi online platforms za shule na zoom conferences. Netflix na videl streaming mara chache. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app