A
BMF inaendeshwa Kidalali siku hizi.1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo.
2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na maelezo juu ya haya makato %10 (km nilivyoambatanisha) na kwanini isiangalie nje zaidi wenzetu wanafanyaje kuongeza mapato bila kukata stahiki za watumishi?
View attachment 3448518
Posho hazilipwi na hazina, hulipwa na kituo. Hata kule kwenye Halmashauri hali iko hivyo, kama hamjakusanya mapato mtashindwa kujilipa.Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi hii.
Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi
Hizo Posho hulipwa kwa mapato ya ndani na hii ni hospitali ambayo mapato yao Makuu wanagenerate wao wenyewe!! Na ukumbuke serikali yako haitoi madawa sijui vitendanishi kwa 100% magap yote hujazwa na hayo mapato ya ndani sasa Pesa wapate wapi!? Ni kukata tu Hizo Posho Huko MSD unaweza agiza HB Cuvette miezi mi3 wao wanasema OS unataka watu wasipimwe au huduma zisiendelee kisa tukulipe wewe Posho?Malengo yasipotimia mnawakata watumishi 10% kwenye posho zao tena zilizo kwenye utaratibu wa kawaida wa kiutumishi? Daah hii nchi hii.