Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ess umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
acha porojo na upotoshaji nonsense gentleman,

watumishi wote wa umma,
waliokidhi sifa na vigezo vya kisheria vya kupanda madaraja, wanapandishwa madaraja kwa mujibu wa sheria na kurekebishiwa stahiki zao kila mwaka kulingana na utaratibu uliopo,

na tunapoelekea kwenye mwaka mpya wa fedha 2026/2027, mamia ya watumishi waliohakikiwa na kuthibitishwa na mfumo watapandishwa madaraja na stahiki zao bila kujali uzushi au upotoshaji nonsense kama huu 🐒
 
Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
sio kweli tatizo ni watu kutokuwa na uzoefu wakati wa kufanya assessment mwisho wa mwaka!
elimu itolewe na kabila ya kumaliza unakagua kwenye assessment report kuona kama umefanya sawa
 
acha porojo na upotoshaji nonsense gentleman,

watumishi wote wa umma,
waliokidhi sifa na vigezo vya kisheria vya kupanda madaraja, wanapandishwa madaraja kwa mujibu wa sheria na kurekebishiwa stahiki zao kila mwaka kulingana na utaratibu uliopo,

na tunapoelekea kwenye mwaka mpya wa fedha 2026/2027, mamia ya watumishi waliohakikiwa na kuthibitishwa na mfumo watapandishwa madaraja na stahiki zao bila kujali uzushi au upotoshaji nonsense kama huu 🐒
Wewe kila kitu kwako ni upotoshaji hata yale mauaji ni upotoshaji si?
 
Duuh nikajua mpaka mwaka wa fedha upinduke

Watumishi mna mambo yenu mnayajua.
 
Wewe kila kitu kwako ni upotoshaji hata yale mauaji ni upotoshaji si?
upotoshaji kama huo ni nonsense gentleman,

kila kitu kina utaratibu wake na ukieleza tofauti, huo ni upotoshaji useless kabisa 🐒
 
Kwangu nimejaza mpaka 100. Nikapata mpaka zawadi ya mfanyakazi hodari.

Supervisor hakujaza, kwahiyo total score imebaki ya kwangu 70%.

Sijapanda kisa ESS score haijafika 75.
 
acha porojo na upotoshaji nonsense gentleman,

watumishi wote wa umma,
waliokidhi sifa na vigezo vya kisheria vya kupanda madaraja, wanapandishwa madaraja kwa mujibu wa sheria na kurekebishiwa stahiki zao kila mwaka kulingana na utaratibu uliopo,

na tunapoelekea kwenye mwaka mpya wa fedha 2026/2027, mamia ya watumishi waliohakikiwa na kuthibitishwa na mfumo watapandishwa madaraja na stahiki zao bila kujali uzushi au upotoshaji nonsense kama huu 🐒
kwa hapa nakusupport sana Mkuu na kwa hili tuko pamoja kabusa
 
Kwangu nimejaza mpaka 100. Nikapata mpaka zawadi ya mfanyakazi hodari.

Supervisor hakujaza, kwahiyo total score imebaki ya kwangu 70%.

Sijapanda kisa ESS score haijafika 75.
mwaka haujaisha Boss Vumilia Mpaka mwezi wa saba ndo useme haukupandishwa..
wapo ninawajua kutoka TAMISEMI na baadhi ya seriakli kuu yaani wizarani ambao hawajafikisha alama hizo na wamepandishwa upandishwaji una sheria zake na wanaenda kwa awamu tatu mwezi wa tano,sita na saba
 
karibu sana gentleman :KasugaYeah:
kingine watu wanafikiri Kupanda daraja ni miaka tu ya kufanya kazi,
itabidi tuanze kutoa elimu ya sheria hasa ni nani anastahili kupanda daraja..
unategemea wewe ni mkoroffi una barua za onyo 60 mwaka mmoja au miaka miwili utawahi kupanda daraja? labda itumike busara tu..

kupanda daraja ni motisha kwa watumishi wanaostahili ambao wamefanya kazi kwa muda uliowekwa na wale ambao hawana matatizo ya kinidhamu
 
uko sahihi 100% gentleman :KasugaYeah:

nadhani wengi wana changamoto ya uelewa kuhusu kupanda madaraja
 
mwaka haujaisha Boss Vumilia Mpaka mwezi wa saba ndo useme haukupandishwa..
wapo ninawajua kutoka TAMISEMI na baadhi ya seriakli kuu yaani wizarani ambao hawajafikisha alama hizo na wamepandishwa upandishwaji una sheria zake na wanaenda kwa awamu tatu mwezi wa tano,sita na saba
Natakiwa kupanda huu mwaka, bajeti hii kabla ya July.

Siyo mwakani, kwa maana ya bajeti ijayo.

Nilioajiriwa nao wameshapanda.
 
kingine watu wanafikiri Kupanda daraja ni miaka tu ya kufanya kazi,
itabidi tuanze kutoa elimu ya sheria hasa ni nani anastahili kupanda daraja..
unategemea wewe ni mkoroffi una barua za onyo 60 mwaka mmoja au miaka miwili utawahi kupanda daraja? labda itumike busara tu..

kupanda daraja ni motisha kwa watumishi wanaostahili ambao wamefanya kazi kwa muda uliowekwa na wale ambao hawana matatizo ya kinidhamu
Watu hawajapanda kwasababu za kimfumo wala siyo hizi hisia zako hazipo.

Mimi mpaka nina cheti cha mfanyakazi hodari, 2024/2025.

Nimefanya kazi kikamilifu, na PEPMIS upande wangu nina 100 (total score yangu ni 70%).

Ikifika July, nafikisha miaka 5 kazini.

Nilitakiwa kupanda budget hii, inayoishia Juni.
 
Back
Top Bottom