Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

Natakiwa kupanda huu mwaka, bajeti hii kabla ya July.

Siyo mwakani, kwa maana ya bajeti ijayo.

Nilioajiriwa nao wameshapanda.
mkuu mwezi wa sita bado haujaisha vumilia au mcheck afisa utumishi wako umueleze kuwa ulistahili maana kwa alama kwa sasa sio ukweli...
hilli swala la ess ndo limechangia pia Ma adisa utumishi kuenda kwenye kikao Dodoma kwa siku 3 kuanzia tarehe 1 mpaka tarehe 3
 
Maelezo niliyopewa, niandike barua.
 
Watu hawajapanda kwasababu za kimfumo wala siyo hizi hisia zako hazipo.

Mimi mpaka nina cheti cha mfanyakazi hodari, 2024/2025.

Nimefanya kazi kikamilifu, na PEPMIS upande wangu nina 100 (total score yangu ni 70%).

Ikifika July, nafikisha miaka 5 kazini.

Nilitakiwa kupanda budget hii, inayoishia Juni.
Mkuu habari! tena?

wewe ni kada gani?
uliajiriwa mwaka gani?
PEPMIS utafikishaje Progress ya 100% wakati ndo kwanza tuko mwezi wa 11 wa kiserikali?
total score ya 70% ni kubwa na mwaka huu wamependa mpaka wenye 60%

nataka nijue kwanza maswali niliyokuuliza then nitakujibu kitu
 
Kwangu nimejaza mpaka 100. Nikapata mpaka zawadi ya mfanyakazi hodari.

Supervisor hakujaza, kwahiyo total score imebaki ya kwangu 70%.

Sijapanda kisa ESS score haijafika 75.
Bora umetoa ushahidi maana wengine hawaamini hasa tulio nje ya huo mfumo. Tunayasikia ila tunashindwa kuthibitisha.
 
Mkuu habari! tena?

wewe ni kada gani?
Afya
uliajiriwa mwaka gani?
July, 2021
PEPMIS utafikishaje Progress ya 100% wakati ndo kwanza tuko mwezi wa 11 wa kiserikali?
PEPMIS wanaangalia mwaka wa fedha 2024/2025.

Mwaka wa fedha uliopita.

Siyo huu wa 2025/2026.

total score ya 70% ni kubwa na mwaka huu wamependa mpaka wenye 60%
Inashangaza mimi bado, naambiwa sijafikisha 75% inayotakiwa.

Nilioripoti nao kazini wamepanda na wamepata mishahara mipya kuanzia hii Mei.

Waraka wao siujui, maana Maafisa utumishi wanafanya siri.
nataka nijue kwanza maswali niliyokuuliza then nitakujibu kitu
👍
 
Afya

July, 2021

PEPMIS wanaangalia mwaka wa fedha 2024/2025.

Mwaka wa fedha uliopita.

Siyo huu wa 2025/2026.

Inashangaza mimi bado, naambiwa sijafikisha 75% inayotakiwa.

Nilioripoti nao kazini wamepanda na wamepata mishahara mipya kuanzia hii Mei.

Waraka wao siujui, maana Maafisa utumishi wanafanya siri.

👍
kwa wewe unastahili na unaweza kuandika barua kwa mkurugenzi kuulizia japo kuomba kuoandishwa daraja ni kunyume cha kanuni wew inabdi uulizie tu kuhusu kupndishwa
 
Kinyume cha kanuni ipi?

Na mbona unasema kuna watu wana 60% wamepanda?
 
kanunii za kudumu za Utumishi wa umma 2009(standing order for public services,2009) Kanuni namba D53 yaani Section D kanuni namba 53 ikisomwa pamoja na Kanuni ya 15 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022..
Screenshot 2026-05-27 182335.png

na kumbuka kuwa section F
Screenshot 2026-05-27 182652.png

kuhusu wenye 60% kupanda najua kwa sababu ,nimeona na wamepanda (tuishia hapo kwenye hilo swali)

kuhusu sababu huenda unaweza ukawa hujapanda.

Kwenye mfumo wa kushughulikia mishahara yaani
HCMIS (Lawson)..
Mfumo unatakiwa upandishe wenyewe unapokuwa umekidhi vigezo lakini ukiona mfumo haujapandisha wenyewe huwa unaandika hoja za kwanini usipandishwe au kwanini umekataa kupandishwa..

hoja zimegawanyika katika makundi mawili..

Query za Kimfumo (System-Generated Queries), na Query za Wahakiki (Approver Queries)

kwa upande wa system kuna Time-in-Grade Query yaani Mfumo unakataa kwa sababu muda wa mtumishi kukaa kwenye daraja la sasa haujatimia (hoja hii hutokea kama tarehe ya kupandishwa daraja iliyopita ilikosewa kuingizwa).
nyingine kwenye upoande wa mfumo ni Salary Scale Mismatch Mfumo unaona daraja jipya unalotaka kumpa mtumishi haliingiliani na muundo wa mshahara wa kada yake.

query ya pili ni query ya Muhakiki mwenywe yaani Aproval yaani afisa utumishi mkuu kwanza ni pepmis query (yaani huenda hwajawasilisha matokeo yako ya Pepmis ya mwaka uliopita au walisahau),Query ya Muundo (Scheme of Service), yaani muundo walioweka kwenye system hauko sawa na muundo wako unaostahili kuwa nao..

kwa tatizo lako ni simole tu mwambie afisa utumishi aangalie query gani uko nayo kwenye mfumo iliyocomentiwa baada ya kuangalia hiyo kwere akwambie ni ipi (kama mnapiga story lakini)..baada ya kuiona arekebishe hiyo kwere na baada ya kurekebisha asubbmit tena muda bado upo
....
umenielewa??
 
kanunii za kudumu za Utumishi wa umma 2009(standing order for public services,2009) Kanuni namba D53 yaani Section D kanuni namba 53 ikisomwa pamoja na Kanuni ya 15 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022..
View attachment 3595995

na kumbuka kuwa section F
View attachment 3595996

Afisa utumishi asipowasilisha matokeo ya Mwaka ya mtumishi adhabu yake ni ipi?
Hapa Kuna watu wataumia kwa uzembe wa mtu mmoja.
 
Umeeleweka.

Query yangu ni PEPMIS, chini ya 75%
 
Ila toka mwaka jana kama hujafikisha 75%hupandi na watu hawa kupanda, kwa mwaka huu kama hukufikisha hizo asilimia ni uzembe wako mana kila mtumishi analijua hili
 
Hivi mtu anajuaje kuwa anapanda daraja au lah? Kwa kutumia salary slip yake? Anatambuaje...

Maana sisi wengine tupo nje ya mfumo hatujui
 
Afisa utumishi asipowasilisha matokeo ya Mwaka ya mtumishi adhabu yake ni ipi?
Hapa Kuna watu wataumia kwa uzembe wa mtu mmoja.
kuna sheria kama ma Afisa waajiri zinazowabana na Nahisi mwaka huu kuna makosa mengi sana yamefanyika na ndo maaana katibu mkuu Utumishi ameitisha kikao cha siku tatu cha Maafisa utumishi nchi nzima dodoma kuanzia tarehe 01 june kuna vitu havijaenda sawa huenda wakaviweka sawa Mpwimbe
 
Umeeleweka.

Query yangu ni PEPMIS, chini ya 75%
aah ok sasa wamechukua jitihada gani kuirekebisha kama mtumishi amefikisha 100% progress ial ana alama chini 75% means Supervisor wake kampa qulitative marks za chini so means kama uko chini kosa sio la afisa utumishi ni la Mkuu wako
 
Anavyosema yeye, alijaza vizuri, ila haikuwa added kwenye maksi zangu.

Kafika mpaka ka IT wa Halmashauri hawezi kusaidia kitu.

Ndio naambiwa niandike barua.

Imagine, mimi nina 100% kwake hata 5%, 6% au 10% kati ya 30% haipo.
 
Hizi kazi za serikali zinakera sana... wenzako wanachezea mshahara wa maana wewe unakalishwa benchi, unakuja kubadilishwa baada ya mwaka na malimbikizo hupewi na huna cha kuwafanya... Ccm kummamae kabisa.
 
Back
Top Bottom