ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
anajitetea tu yeye ndo kakushika shilingi sema ikishafungwa ni vigumu kurekebisha..Anavyosema yeye, alijaza vizuri, ila haikuwa added kwenye maksi zangu.
Kafika mpaka ka IT wa Halmashauri hawezi kusaidia kitu.
Ndio naambiwa niandike barua.
Imagine, mimi nina 100% kwake hata 5%, 6% au 10% kati ya 30% haipo.