BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
DuhMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Duuu mzee baba huo ni mshahara au posho ya kikao!!!!?? Kweli walimu mna hali ngumuMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Jf na madon wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuu mzee baba huo ni mshahara au posho ya kikao!!!!?? Kweli walimu mna hali ngumu
Watumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Duh, ukinikuta huku kijijini ninakopiga Job watu Wananiita don, kumbe ni balaa tupu, lakini hakuna namnaDuuu mzee baba huo ni mshahara au posho ya kikao!!!!?? Kweli walimu mna hali ngumu
Mkuu Mimi nimeanzia ngazi ya daraja A, B, C Hadi D, sikuwahi kusomea pesa ya bodi ya mikopo??Mbona mkubwa sana huo? Tatizo umeukopea.
Hongera kwa kumaliza deni la bodi.
Wizara zina activities nyingi hawategemei mshahara.
Nani akikwambia usiende kusoma acha uvivu Rudi shuleMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Deni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi naniMkuu Mimi nimeanzia ngazi ya daraja A, B, C Hadi D, sikuwahi kusomea pesa ya bodi ya mikopo??
MbwaweweNamshukuru Sana Rais samia pia nampa pole sana pia nampongeza walau kwa kuajiri japo kidogo,najua miradi iliyoachwa na mwenda zake ni mingi mikubwa na inayokula pesa mingi kwelikweli,kwa juhudi unazozifanya tunafahamu muda utafika mamiradi yatakwisha watanzania tutafaidi ukubwa wa mishahara minono,tuvute subra kidogo!
Humo humo ndugu, tofauti laki moja tuMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Mimi nilifikiri alianza na ngazi ya mshahara A sasa yupo DDeni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi nani
Mm niliacha baada ya kujua magufuli alikuwa mpuuzi tu na wote waliomshangilaWatumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Woh.... woh.... woh.... barking is my job,while giving you truth!Mbwawewe
Nikushauli tu achana na makato ya CWT kiongozi jitoe kabisaaa maana sio lazimaMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Ndio hivyo alianza daraja A Ina maana alianza kazi akiwa na certificate akapanda madaraja A, B, C, na sasa D zamani ilikuwa mwisho E kama ajajiendeleza kielimu Sasa hivi nasikia wanaenda tu ila wengi wanaishia hapo E umri wa kustafuu unakuwa umefikaMimi nilifikiri alianza na ngazi ya mshahara A sasa yupo D
Sure kabisa wana semina kibao wale watuWizara zina activities nyingi hawategemei mshahara.
Hawakubali Mkuu, wakiweka hii opsheni cwt itakufa , hakuna mwalimu anaikubali cwtNikushauli tu achana na makato ya CWT kiongozi jitoe kabisaaa maana sio lazima
Utanijumbuka.