digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Nani kasema anatafuta mchawi? Mimi sio mtu wa kulia Lia!Deni la bodi alitoe wapi kumbuka anasema alianza na Daraja A Ina maana uyu ni mwalimu grade A kafika daraja D kwa kupanda daraja ndio maana anamwambia amekaa na Daraja Hilo miaka kumi Ina maana aligoma kurudi shule elimu yake ndio imemfanya akae hapo alipo asitafute mchawi nani
Sawa JAMBO LETU LIPO au siyo😂😂😂Mkuu Nani kasema anatafuta mchawi? Mimi sio mtu wa kulia Lia!
Upo sahihi zile taasisi hasa SU n.k wanalipwa vizuri sn kati ya milioni 3 mpaka 15 lakini halmashauri ni kati ya laki 3 mpka 1.8M basi na wakati ndiyo wazalishaji wakubwaKama kuna kitu nimenote kwenye mabango ya mei mosi ni kuwa wafanyakazi wa serikali za mitaa, Yani halmashauri nk wanahali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, wizarani, psssf ,TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa local government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Huyu mtu atakuwa na hamu ya kwenda kazini tena kama anapokea laki 2? na hana posho yoyoteMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Du umeanzia mbali mkuuMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Wafanyakazi wa "Wizarani" hawana tofauti yoyote ya mishahara na wa Halmashauri.Kama kuna kitu nimenote kwenye mabango ya mei mosi ni kuwa wafanyakazi wa serikali za mitaa, Yani halmashauri nk wanahali mbaya sana. Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, wizarani, psssf ,TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".
Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa local government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Hakuna tofautiNaomba kuuliza iwapo kuna tofauti ya kimaana ama kisheria kuhusu "wafanyakazi wa serikali" na "watumishi wa serikali"
JESUS IS SAVIOR
Sisi tunajua nyie mnakula AsaliWatumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Unapendekeza wanatakiwa kufanya nini?Na wao wamekubali kabisa kusukulishwa.
Utumwa wa karne ya sayansi na teknolojia.
Wale wa wizarani Makao makuu je?Wafanyakazi wa "Wizarani" hawana tofauti yoyote ya mishahara na wa Halmashauri.
wewe ulikopa na ukafungha miradi hata kama kwa sasa net salary ni ndogoMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Ukiona kwako kunaungua kwa mwenzako kunateketeaMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Mkuu umepotea sanaNamshukuru Sana Rais samia pia nampa pole sana pia nampongeza walau kwa kuajiri japo kidogo,najua miradi iliyoachwa na mwenda zake ni mingi mikubwa na inayokula pesa mingi kwelikweli,kwa juhudi unazozifanya tunafahamu muda utafika mamiradi yatakwisha watanzania tutafaidi ukubwa wa mishahara minono,tuvute subra kidogo!
Amefanya vizuri sana kutokutaja.Jinsi mishahara ilivyoongezeka siku ya wafanyakazi nchi mbalimbali
1 kenya 12%
2 Morocco 16%
3 Ghana 10%
4 Nigeria 17%
5 Tanzania. LileJambo letu lipo
[emoji23][emoji23][emoji23].
Mama aache janja janja ataje asilimia au aseme hamna kitu na sio tuna jambo letu
Maana yake Hakuna, wafanyakazi ni wa kudanganywa kama hawezi ongeza apunguze kodi ya mshahara PAYE na sio lugha ya janja janjaAmefanya vizuri sana kutokutaja.
Inategemea na WizaraSure kabisa wana semina kibao wale watu
Basi wapunguze kiasi!!! Pesa hiyo kwa idadi ya walimu wote nchini basi wanapata millions of shillings per month sababu walimu ni almost 30% ya wafanyakazi wote wa serikaliHawakubali Mkuu, wakiweka hii opsheni cwt itakufa , hakuna mwalimu anaikubali cwt
Hakuna tofautiWale wa wizarani Makao makuu je?
Sio kwamba inategemeana na level ya elimu na kazi?Hakuna tofauti
Kwani akitaja mtaporwa? Au unadhani ukiongezeka watu hawatajua?Amefanya vizuri sana kutokutaja.