Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Mshahara mkubwa sana,
Punguza matumizi hyo laki 150 Kwa wife na 150 chakula n kubwa fanya adjastment
 
SHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO
 
ichague CHADEMA, watakubadilishia maisha yako.
 
Tatizo kuu la waafrika hasa watanzania hawajui ni kwa nini wanazaa watoto.

Watu wanazaa watoto kwa matarajio kwamba waje kuwasaidia ukubwani.

Hizi ni mentality za kijinga sana.
 
Nimekupenda Bure my ushauri mzuri
 
Dada naomba namba Yako ,nataka tushauliane maisha🤣
 
Wafanyakazi 90% wa serikali hawana kitu.

Hali mbayaaaa.

Wengi mishahra yao haifiki laki 5.

Wanaishi kwa kukopa.

Hasa walimu kutokana na ukopaji wao, hali ni mbayaa.

Mfano, hali kama hii, hapo hujala, hujalipa kodi, umeme, maji.

Siyo kioa kitu atakwambia, ila hali ni mbayaa
 

Attachments

  • Screenshot_20250426_200531_CamScanner.jpg
    51.7 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…