Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,416
- 3,601
Kanuni za kiuchumi zinasema kodi ya nyumba isizidi asilimia 10 ya kipato chako mkuu...Asante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwa