Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Asante Kwa ushauri je kama nikifanikiwa kununua vitu vyote hivyo nikimwachia elfu 5 Kwa siku nakosea maana ananiambia haitoshi?
Suala la kula simamia mwenyewe ukiamka unakua tayari ushajua leo watakula nini siku nzima na mboga ni aina gani basi unamuachia iyo hela kama kuna ulazima wa kufanya ivyo kwa iyo siku kupata mboga,,,usimwachie hela za mwezi apige bajet yeye, wanawake wanamambo mengi kwenye hela pia ni wachache wenye huruma huenda anacheza vikoba uko hujui na kutuma hela kwao ndio maana pesa inakata wakat vitu vyote viko ndani,

Kuna mpangaji wetu home nilienda kuwaona wazee nikapewa story jamaa ni dokta wa mifugo ila kajiajiri tu mwenyewe kwenye iyo sekta ya afya ya mifugo basi alikua anampa mke wake 150k kwa mwez hela ya matumizi kama ivo kununua mboga while hela ya chakula i mean shoping yote ya mwezi jamaa kashafanya kilakitu,,,,lakini mwishoe mke hapiki ananunua chakula barabarani ni mwendo wa chips na kula kwa mama ntilie,,,mwamba akastuka izo pigo akaona chenga akapunguza bajeti yote ya kumpa kuja kufatilia kumbe mke anapeleka hela kwa mama yake wanaongezea mtaji sokon kwenye biashara,,,,jamaa kujua hilo akamtimulua mbali na hataki hata kumsikia, mke yupo anadangaika now na jamaa alikua vizuri sana kwenye kumuhudumia maana nyumba tu aliyopanga ni 150k kwa mwezi

Kwaio wanawake sio wote wanaweza kujisimamia,,,ukishamjua kichwa maji simamia routine na bajet za kifedha zote mwenyewe yeye anakua anapokea maelekezo na kuyafanyia kazi tu
 
wewe Kidagaa kwanini yeye ndo aanze kufa na siyo mkewe?
 
ni kweli, kama huyu bwana hakutumia nguvu kubwa kum-win huyo mwanamke kisha kumuoa,, hawezi kutumia nguvu kubwa kuishi naye. LAKINI kama ni kinyume, basi akae na mke wayajenge. Secret person
 
Huu uzi uwe fundisho kwa vijana wengine

1. Usikimbilie kuwa na mke kabla haujajipanga kuwa na vyanzo vingine vya mapato nje ya mshahara. Mishahara ya watumishi ni dusko dusko tu ili usife njaa.

Ni vigumu sana kwa mtumishi mwenye mshahara dusko kuwekeza akiwa na mke na familia maana kila ukitaka kujibana kwenye matumizi ili uwekeze unagundua mke na watoto nao wanakutegemea.



2. Jitahidi kigezo kimojawapo cha mke awe ni mfanyakazi au mfanyabiashara (ndogo au kubwa).

Huyu kuna muda atajiongeza ni kweli mume ni jukumu lako kuitunza familia lakini mke mwenye kati ya hivyo vigezo 2 atakupunguzia mkazo na mnaweza mkakaa mkayajenga namna ya kutengeneza bajeti ya familia yenu


Mwanamke ambaye hajui kuchakarika kwenye biashara hata uumtafutie mtaji ataufirisi na kukuacha na madeni



3. Ishi kulingana na kipato chako bajeti ni muhimu sana rahisisha maisha yako. ​
 
Punguza Circle ya wategemezi
 
Mke akiwa na kazi yoyote hata apate laki kwa mwezi ni magoli , mtu anayeweza kupata kdogo ipo siku atapata kikubwa .
 
Kwanini ukae nyumba ya ovyo? Pesa haitoshi na haijawahi kutosha.....waza kuongeza kipato...... Kama mke hana kazi mtafutie kishughuli cha kufanya upunguze mzigo kwa kiasi
nashangaa. mtoa mada labda anapaswa ajue hela ya mshahara haijawah kumletea mtu maendeleo. usiji stress out kutak hio lak 6 et ije itoe hela ya maendeleo never.maan hata kikanuni inakataa say baad ya kutoa basics zot save elfu 50. so hii 50 utaidunduliz mpak mwak gan? hio hela ya salary ni y a wewe kul na kuish.unaambiw ukakae pa hovyo kusave elfu 60, ujinga tu.unachopaswa ni kuwa na mikakat yako ya kupata extra income Wetherby ukope Kufungua biashara au part tim job. ila toa kabisa mawazo ya hel ya mshahara et ufanye maendeleo never.mshahara una ka ushetan flan.kadiri unavoo gezeka ndio majukumu nayo yanazid na unashangaa yanatok wapi. l
 
kam wameamua ku mbless wazaz wao wala wasiache huo utaratibu hela ya kutumia freely ina raha yake.mzee nae anajilipa machungu ya ulez na uzaz.msiache kutuma hizo hela.wengine wanataman wawe wanawapa hela wazaz wao ila circumstances tu
 
Kuna mizigo watu wanajibebesha bila ya kufikiri ehm rafk waza maendeleo ya kesho kuliko kuwaza kumfurahisha mtu kwa muda mfupi huku wewe ukiteketea kwa sonona
Kwa mfano kama bills zote za nyumbn unafanya wewe je Kuna haja gani ya kumpatia wife 150k kila mwezi?
Wakt hyo hela ingetosha kumfungulia genge la mbogamboga Kisha na yy akaanza kuwa na hakiba yake ya kumsave kwenye dharula?
Suala la nyumb kama hauna familia kubwa unatafuta nyumba ata ya elf 25_30 ilimrad iwe na huduma muhimu ambazo n maji na umeme
Usipoamua kujibana utajiua kwa stress zitakazo tokana na mikopo ya kausha damu
 
FAmilia mko wangapi, hapo kwenye pango 100k ni shida.
 
Laki sita hela nyingi Sana!!
Jitahidi bajeti yako Kwa mwezi mzima isizidi 400,000! Ukiondoa kodi Yaani jizime data kabisa iaminishe Akili yako kwamba kipato chako Ni Laki nne tu!!
Inapendeza mkeo akiwa na shughuli ya kumuingizia kipato Kwa maisha ya Leo na kesho lakini usikurupuke kumpa mtaji mkubwa,muache afanye biashara ndogondogo ukishamuona ana mwelekeo muongezee mtaji!!
 
Shida unaiwazia hela unayoingiza.... Skia wazia nini cha maana unachofanyia hiyo pesa kila mwezi unapopokea usiifikirie ni shingapi imeingia kwa mwezi usianze kifikiria ku budget hiyo laki sita sabu pesa haijawahi kutosha na kadri unavyopata pesa mingi na matumizi huongezeka....

.....Wee angalia nini cha maana umefanya kila mwezi unapopokea hiyo 600k kisha track down matumizi ya kis*nge yasiyo na maana uanze kuyaondoa kama sio kuyapunguza kabisa hapo ndo utapata uhalisia wa pesa yako ilkua inaishia wapi na je palikua na ulazima wa kuitumia huko...!? Utapata majibu.
 
Sijui.. lakini ngj nitoe ushauri kdg..

Bro... naona unataka ukae ktk PANGO la nyoka.. yaan una familia alaf upange nyumba ya chini ya laki?

Weka mindset kuwa unapokea laki 5 na si 6.

Then anza kupiga hesabu kuanzia hapo..

Mie mshahara wangu wote upo fixed.. na kila siku naweka data za financial ktk System na inanipa feedback, analysis , charts , graphs kila kitu kipo naona mwenendo wa matumizi.

Kuna muda unaadjust bajeti unajinyima sehem flan hiy hela unaenda kufix sehem flan. Kitu kilicho nje ya bajet unaachana nacho...

Huyo Mkeo kaa nae vzr, angalia wasije wakakutomb*ea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…