Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Hii kitu huwa inanishangaza sana yani ukisema tu kuwa upo mkoani watu wanaamini upo shamba ni vituko kwakweliWewe unaomba tukupe ushauri, Means tukusaidie kupanga budget. Navyoelewa budget ni mtu mwenyewe anaamua afanyaje. Tukikwambia kata au punguza mrija wa hiyo Contribution kwa wazazi utatuelewa?
Nimeona umesema Kodi unalipa 100k .Kiuchumi ukiwa katika kujitafuta na chanzo kimoja Cha mapato, Kodi haitakiwi kuvuka 10% ya Pato lako.
Hata tukikupa ile formula ya 50/30/20 Budget rule haitakusaidia sababu hujaamua bado.
Yani watu ukiwaambia upo mkoani wanaamini ulipo ukitoka nje tu upo Shambani 😂😂😂.
La msingi siku ukizidiwa zaidi utapata akili ya Kubudget vitu na kufanya reasoning ya kila Shilling unayospend.