myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Na wewe!!! Jasusi ni fundi???....Hayo majasusi mabobezi akina membe kwanini hawakujenga flyover kwa miaka sitini watu wanataabika na kukanyagana kwa foleni?
Tanroad wapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe!!! Jasusi ni fundi???....Hayo majasusi mabobezi akina membe kwanini hawakujenga flyover kwa miaka sitini watu wanataabika na kukanyagana kwa foleni?
Hakuwahi kuwa..Hakuna Jasusi kil.aza vile.... Yaani uwe Jasusi afu uropoke kuhusu informants waliopandikizwa Acacia? Hapo hapo akajisifia anavyodukua mawasiliano ya wakurugenzi na DC??
Ni hivi kazi kubwa kwa Jasusi ni kumaliza threats kwa usiri.... Yaani mfano Lissu wangemuua hata kwa kupandikizwa saratani n.k sio ku order SMG zitumike!! Huwezi ukawa Jasusi alafu ukafanya blunders kama hizo.
So nakataa JPM hakuwahi kuwa TISS na Hana sifa za kuwa TISS.
Noted with full naked truthNaomba nikujibu hivi; maafisa usalama wa kawaida ni hawa ma rso na dso na wa chini kabisa ni wale wanaosimamia mitihani ya la nne la sana form two form four na wale walioko nectar wanaotisha walimu wa Mpwayungu Village kila siku bernard camilius membe alishapita level hizo toka mwaka 1980 na kimsingi hakuwahi kuwa huko chini kwa taarifa yako wakati waziri mkuu mizengo kayanza peter pinda akiwa mkuu wa usalama wa ikulu wakati wa nyerere membe tayari alishakuwa ndani ya ofisi ya rais mchambuzi wa mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi set up unayoiona leo nje ya nchi na ndani pokea hiyo. Itoshe kusema mizengo pinda alilinda ikulu na familia ya nyerere na membe alilinda taifa nchi !
Sahihi...Sio kweli wengine ni informants tu maana TISS haiwezi kuwa na mtumishi Kila eneo so inatumia wale ambao wapo huko tayari kupata taarifa. Mfano jela mnapochunguza mtuhumiwa wa kifo inaweza ikawa ngumu kumpelekea Jasusi ila ikawa rahisi kumtrain mfungwa au nyapara mbinu za kijasusi Ili apate taarifa zake kiurahisi.
The Picnic Arusha...Sahihi...
Tatizo ni hao informer wakijisahau huropoka mtaani. Watu hujifanya wamewajua ..
👍The Picnic Arusha...
Ibilisi mama mkwe wako mama zitto kabwe nenda kamfukue mama mkwe wakoJibu swali kama hao TISS ni professionals kiasi hawawezi mkosa Lissu kwa risasi niambie ilikuaje wakashindwa mlinda Ibilisi wenu Hadi akafa kizembe zembe vile?
Kituko zaidi taarifa za kifo chake zilivuja Dunia nzima huku nyie makondoo mkibisha humu Mitandaoni. Sasa hao TISS kama ni imara how did they let the information leak?
Mnachekesha sana
naskia marehemu Augustino Mahiga nae alikuwa TISS
Dr. Mahiga alikaimu Ukurugenzi wa Idara ya Usalama (enzi hizo kitengo cha Ikulu, kabla TISS haijaanzishwa rasmi kisheria).naskia marehemu Augustino Mahiga nae alikuwa TISS
Membe kabla ya serikali ya awamu ya tano kumnyanyua kisiasa alikuwa afisa wa usalama wa kawaida tu hakuna cha maana sana alichokuwa amefanya zaidi ya wengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wako tunalewa wote viti virefu na wanaringia UTIS. Hapa kijitonyama wengine wanakuja pub na bastola zinaninginia matakoni kishamba tu! Wengi ni Maafisa Ulevi wa Taifa! Acha jasusi mbobezi ajitofautishe na hao wapuuzi!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lemutuz pia alikua kachero
Sahihi kabisaDSO
RSO
Hujulikana sana
PSU wote hujulikana,
Wengi wao Eagle akipumzika hurudishwa mikoani au makao makuu
Ajabu kubwa!Wanazani wamejua serikali awami ya tano
Hayo ni maneno tu sisi tunayemjua alikuwa junior matupu. Ndio maana hata wewe unakuja hapa na maneno tu. Niambie alikuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ipi hapo Idarani? Angekuwa mbobezi kama Balozi Mahiga naona mngesema sana! Balozi Mahiga pamoja na ubobezi wake lakini alikuwa very humble!!Unless kama umemfahamu juzi, kwa taarifa yako tu ni kuwa huyu ni koja ya seniour officers idaran toka kitambo, na kufika nafasi ya kuwa seniour officer is no joke, si kikombe cha kila mtu
Sikumbuki vizuri kama wasifu wa Mahiga walisema alikuwa TISS anaekumbuka atujuze
Nchi imejaa makachero hiiLemutuz pia alikua kachero
Inasemekana babaye ndo kachero mbobeziLemutuz pia alikua kachero