Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Ingekuwa kila mfanyabiashara anajiandaa kwa kodi kusingekuwa na minada ya bandarini kila uchwao.

Hayo yote ya rushwa ni speculation and intetpretation zako wewe na mleta uzi. Mwenyewe mwanamama hakutamka kaombwa rushwa. Alisema hakuwa na hela.

Kuongeza machumvi kwenye mvutano na TRA kunadhoofisha kesi yao dhidi ya TRA kwa sababu wakiombwa evidence of solicitation of corruption hawana.

Kodi kubwa, makadiro mabovu ndio tatizo la leo lililofunga Kariakoo. Rushwa ni agenda tofauti ya kitaifa, kijamii, kisheria, na haiwezi kutatuliwa na watu wa Kariakoo peke yao. Wasiichanganye hapa. Kodi ikipunguzwa watu waka afford rushwa itapungua automatically.
 
Kweli kabisa, serikali yetu haijali watu wake hata kidogo maana kama wangekuwa wanajali wangekuwa wanafuatilia vitu ila wapi, kila kiongozi yuko bize kuiibia nchi. Mtu unaagiza gari used toka nje kuja hapa nchini unalipa ushuru mara mbili ya hilo gari na serikali yetu ipo tu. Wananchi tunalalamika wao wako bize kukuna pumbu huku wakitucheka. Serikali ya CCM ni wezi sana na hawana huruma na wananchi wao.
 
Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa
Ni kweli, Magufuli alikuwa anajuwa kila kitu kuhusu TRA na aliwashughulikia haswa hawa wababaishaji (TRA) ila huyu mama kwa kuwa naye yuko kibiashara zaidi anawaachia kina Mwigulu waibe tu mwisho wa siku wanampa mgao wake na yeye.
 
Sinyaa wa watu wamemfilisi. Wamekamata kontena yake, tbs nao wakakamata vipodozi ( Tena Hawa tbs) nao wachunguzwe, Wanang'ang'ana wafanyabiashara vipodozi vyao, wanatokomea navyo. Wanakomoa watu.

SERIKALI ITAMBUE HAO WATUMISHI WA TAASIS ZA UMA WANAFILIS WAFANYABIASHARA, NA KUWACHONGANISHA NA SERIKALI YAO.

SINYAA ASAIDIWE ARUDISHIWE CONTAINER YAKE. HALIKADHALIKA MAMA WA VITENGE.
 
Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa
Angejishughulikia na yeye mwenyewe aliyetengeneza task force wakawapachikia watu mashtaka ya uongo kisha wakawapiga na kitu kizito plea bargaining wakapiga mapesa wakapeleka kuficha China.

Magufuli na TRA wanafanana mijizi mikatili yote hii
 
Wakiisha shida ikwap
 
Reactions: Tsh
Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa
Hapana sio kweli kwani hizo sheria mbovu na hizo task forces na police kwenye kodi alianzisha na kuendeleza hayati Magufuli. Mifano/ushahid iko mingi sana kwa hiyo tunayoyaona ni legacy yake.
DC Sabaya kule Hai, Polisi na sakata la Prof. Maeda Arumeru nk nk

Mambo hayo yalianza rasmi 2016, nina ushahidi: maana nami ni Mfanyabiashara. Tulifanyiwa hivyo hivyo kama alivyoshuhudia huyo mama!

Na sio kuchukua, kuzuia au kuiba mizigo ya Wafanyabiashara; bali TRA na Task Forces kuwafuata majumbani na mali za Wafanyabiashara kutaifishwa na hata kuiba/kuchukua fedha kwenye akaunti zetu. Ilikuwa ni dhuluma na uporaji wa Dola dhidi ya raia. Ila hapakuwa na uhuru wa habari.
Hayati Magufuli alizuia media kutoa habari (hasa za ukweli) lakini wakati huohuo yeye akatumia media kufanya propaganda zake, ambazo kuna kundi kubwa la wajinga waliziamini. Magufuli alaaniwe milele!

Tunachokiona leo na kukisikia ni kwa sababu tu awamu ya sita kuna uhuru wa kupashana habari, credit to Rais Samia for that.

Lakini ushenzi huu umekuwepo. Ndio legacy halisi ya "Kishindo cha Awamu ya Tano". Ndio maana huwezi kusema kulikuwa na hata "harufu" ya utawala bora enzi za Mwendazake sababu hapakuwa na uwazi. Bila uwazi kuna rushwa, dhuluma na mambo yote maovu.

Ni kweli Magufuli alichukia Wafanyabiashara na hasa matajiri; na hakuficha. Alisema wazi na kuonyesha kwa vitendo katili hiyo chuki. Historia na rekodi iko hivyo na itabaki kuonekana hivyo.

Tunataka Katiba Mpya ili tuepukane na kutoka hapa tulipo. Yaani wahuni kuhujumu uchumi na maisha yetu kisa tu wako serikalini.
 
Hatari
 
Kama ni hivyo ilikuwaje sasa hao hao TRA wakashusha kodi mpaka 10bn na baada ya sakata la mgomo siku moja kabla ya mkutano na PM wakampigia simu tena akachukue mzigo wake wote bila masharti kama kweli walikuwa wamefanya assessment ya haki bila makando kando?
 
Hata cocaine, mandrax na heroin zina multiplier effect bila ya kusahau bangi tuziachie tu zikuze uchumi?
 
Mkuu Uzima Tele asante kwa kumkaanga huyu mfanyakazi wa TRA Ofisi ya Mkoa wa Ilala anayeitwa Tindikali . Akikujibu uni tag
 
Ayo yakwako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…