Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Ingekuwa kila mfanyabiashara anajiandaa kwa kodi kusingekuwa na minada ya bandarini kila uchwao.Tafsiri yake ni hiyo, yaani rushwa..
Bado tafsiri ya hiyo assessment Ina uelekeo wa rushwa tena bila hata kuwa na diploma ya "uta - KUKURU!!"
Kuna maswali muhimu kadhaa ya kujiuliza ni hili;
1. Ikawaje wakatengeneza njama za kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi na wao wenyewe tena kuifuta/ondoa mahakamani kesi hiyo?. Jibu ni rahisi: Kum - indimidate atishike ili wapate wanachokitaka!!
2. Na unadhani ikawaje variation ya hiyo assessment ikawa inabadilika kiwango kutoka 30b kisha 15b and then 10b na mwisho "njoo uchukue mzigo wako?"
##Unataka ufundishwe na nani ili ujue kuwa hiyo ni direct rushwa na hata kama zingetoka zisingeingia ktk fuko la serikali??
It doesn't matter.
Ingekuwa ni bidhaa isiyoruhusiwa ishu hapo isingekuwa Kodi tena bali ni kosa la jinai. Kwa hiyo walipaswa kumshitaki tu mfanyabiashara
Hizo zilikuwa ni bidhaa za kawaida tu lakini eti Kodi 30bn. Hata Tanzania Breweries LTD (TBL) au Bakhresa Group of Companies LTD hawalipi kodi ya kiwango hicho tena Kwa mwaka mzima!!
Hakuwa na hela hiyo ya rushwa kwa kiwango hicho...!!
Kumbuka kuwa, kama business woman, lazima alikuwa na pesa ya kulipa Kodi halali ya serikali..!!
Ni mfanyabiashara gani makini anaweza kuagiza bidhaa ya biashara yake asiweke na bajeti ya Kodi, tozo na ushuru wa serikali..??
Katika scenario ya namna hii, you don't need to hear anything from TRA Kwa sababu picha ya rushwa iko very crystal clear.!!
Yaani mfumo wa rushwa ktk nchi hii unaundwa na syndicate hatari sana ikihusisha vigogo toka Kila idara muhimu serikalini: TRA, polisi, TISS, WIZARA ya fedha na pengine mpaka ikulu..
Hayo yote ya rushwa ni speculation and intetpretation zako wewe na mleta uzi. Mwenyewe mwanamama hakutamka kaombwa rushwa. Alisema hakuwa na hela.
Kuongeza machumvi kwenye mvutano na TRA kunadhoofisha kesi yao dhidi ya TRA kwa sababu wakiombwa evidence of solicitation of corruption hawana.
Kodi kubwa, makadiro mabovu ndio tatizo la leo lililofunga Kariakoo. Rushwa ni agenda tofauti ya kitaifa, kijamii, kisheria, na haiwezi kutatuliwa na watu wa Kariakoo peke yao. Wasiichanganye hapa. Kodi ikipunguzwa watu waka afford rushwa itapungua automatically.