kekundu
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 311
- 493
Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.
TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA