GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.

TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Acha unafiki ww ni mtumishi wa wapi ww hizo laana na tabu zitakuandama kama sio ww kizazi Chako kitaandamwa na unafiki +Umasikini usio kuwa na kikomo na itakuwa hivyo usipobadilika
 
Back
Top Bottom